Search results

  1. SEMBE WA LUSANGA

    Nakula lakini sipati choo, nkipata nikidoogo tena baada ya siku mbili.

    Jamani naombeni msaada wa haraka, chakula nakula kama kawaida ila choo sipati, nikipata nikidogo sana halafu kinatoa harufu na upatikanaji wenyewe ni washida tena baada ya siku mbili. Nilikwenda hospital wakapima choo wakaniambia ninaminyoo, nikapewa albendazone doze, nimemaliza lakini hakuna...
  2. SEMBE WA LUSANGA

    This was when I was much younger, before I got old and ugly.

    This was when I was much younger, before I got old and ugly.
  3. SEMBE WA LUSANGA

    Shemeji yangu huyu ananitega!

    Mimi naishi na mke wangu na tumejaaliwa kupata watoto wawili. Shemeji yangu baada yakumaliza shule, kaja kuishi nasi nyumbani kwangu, nimemtafutia chuo na anasoma nakurudi nyumbani, lakini maisha yake yamenifanya nizidishe upendo kwake. Kwakuwa mke wangu nimfanyakazi huwa sanyingine anaondoka...
  4. SEMBE WA LUSANGA

    Kuuwa tembo na kukutwa na pembe za tembo

    Ulikuwa unakatiza porini, ukakuta tembo amekufa, na ameanza kuoza. Ukapaki baiskeli yako nakuanza kuukagua mzoga ule, ukaona pembeni mavi ya tembo ukakumbuka kuwa yatakufaa kutibu degedege pindi mmoja wawatoto wako atakapo ugua, ukachukua yakutosha katika kapu lako. Ukiwa unajiandaa kuondoka...
Back
Top Bottom