Wagogo huwa awajui wanahitaji nini kwenye mahusiano...asipo kuacha utamuacha kwasababu huwa wanajifanya hawajui kupenda...ila kwa uzuri ni wazuri...sana umenikumbusha mgogo wangu Wa Geita
kwa taarifa za awali...ndugu wa ben/familia nilipata taarifa kuwa wanaishi Tabata njia ya segerea ila kama tukiwa makini kuwapata sio tatizo...kinacho takiwa ni mpango endelevu...kudhibiti vibaraka waovu, vile vile kuwa na moyo pasi na kuchoka...maana ukianza mbio ni vyema kuimaliza ni dhambi...
Tukiwa na Moyo huu tutafika mbali...tutatoa hizo pesa baba yake ben, mama yake na mke wake pamoja na wawakilishi wawili kutoka humu wafungue account...lakini umakini mkubwa unahitajika...kuna kenge wataufuata msafara wa mamba ili waharibu dhima.
Nahaidi kutoa 50,000/=
Baada ya kutembelea tovuti nimekutana na habari hii
BARAZA LA KISWAHILI LA TAIFA (BAKITA) LINATOA MAFUNZO YA KUIMARISHA STADI ZA KUFUNDISHA KISWAHILI KWA WAGENI NA KUTAMBUA RASMI WALIMU WA KISWAHILI KWA WAGENI. MAFUNZO HAYA NI ENDELEVU NA KWA SASA YANAFANYIKA KATIKA OFISI ZA BAKITA NA BAADAYE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.