Search results

  1. ethicx

    Msaada: Hospital yenye Gastroenterologist mzuri hapa DSM

    Habari wana jamvi, kama kichwa cha uzi kinavyosemeka. Ni hospital gani hapa dsm naweza kupata gastroenterologist mzuri. Natanguliza shukrani.
  2. ethicx

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji Blackberry Q10 au Q5 mpya au used iliyo katika hali nzuri budget yangu ni 250k. Nitext kwenye 0655069989 kama uponayo.
  3. ethicx

    Natafuta Blackberry 10

    Habari wadau, natafuta BlackBerry 10 iwe katika hali nzuri hasa Q10, Z10 au Z30 budget yangu ni 250k tu. If interested PM plz.
  4. ethicx

    BOT na Kashfa ya kuuzwa kwa sarafu ya mia tano /Tsh 500

    Harufu ya upatu inanukia watalizwa watu siku sio nyingi, utasikia ikipanda bei ukienda kuzinunua ili ukauze umepotea coz utakuta wanunuaji wamesepa.
  5. ethicx

    Zitto Kabwe, the Smartest Politician of our times!

    Kweli CDM kitakua chama chenu daima ila hakitasikia hata harufu ya ikulu. Miaka 23 hamna cha maana mlichofanya mnatuchosha #ACTWazalendo ndio tegemeo kwa sasa.
  6. ethicx

    Watu wanahisi mimi ni usalama wa taifa, naombeni ushauri

    Kiukweli mkuu kwajinsi ulivyoelezea huna sifa yakuwa afisa usalama labda useme unasifa za polisi. Afisa usalama kumjua labda awe amekwambia mwenyew sas km watu wamekuhis na kuamin hivyo wameingia chaka kabsa. Kuuleta huu uzi hapa na jins unavyojieleza ni wazi huna sifa yoyote usijipe matumain km...
  7. ethicx

    Moto wazuka Hosteli za Mabibo

    Habari katika picha.
  8. ethicx

    Udereva na upolisi sio kazi za waliofeli tena std 7

    Mwaka 2012 tulipata chance mimi na classmates wangu ya kuingia police. Tulifanya interview vizuri, siku tunaenda kupima afya pale kurasini hosp ya polisi nilikutana na askari ambaye ni daktari nafikir ana nyota mbili au tatu sina hakika. Aliniuliza maswali ya elimu yangu kuanzia olevel na grade...
  9. ethicx

    Tundu Lissu rudi Shule

    Kwanza inaonekana wewe sio mwanasheria kama mimi, pili lugha inakusumbua. Unashindwaje kutofautisha kati ya correct na illigality? Kama hujaelewa sema nikufafanulie.
  10. ethicx

    Tundu Lissu rudi Shule

    Nanyi tuhuma zake zipelekeni kwenye mamlaka husika. Sio kuja hapa nakubwabwaja.
  11. ethicx

    Huu ni mmea gani wakuu???

    Nahisi pilipili kichaa au bamia.
  12. ethicx

    Tundu Lissu rudi Shule

    Nakujibu hoja #1 hizo nyingine hazieleweki sababu mimi sio mwanasheria. " 1. Katiba za vyama zinasajiliwa na msajili baada ya kujiridhisha kuwa zinaendana na katiba ya nchi na ndiyo chama kinapata uhai." Sijajua kama kweli wewe ni mwanasheria, hivi katiba inapotungwa, kuandikwa mpaka kufikia...
  13. ethicx

    Tundu Lissu rudi Shule

    Ungeandika kiswahili tungechangia vizuri.
  14. ethicx

    Tundu Lissu rudi Shule

    Tuhuma amejibu labda ulikusudia kujibu mahala unapokusudia wewe. Baadhi ya majibu ya tuhuma hizo tembelea tovuti yake, www.zittokabwe.com
  15. ethicx

    Tundu Lissu rudi Shule

    Sheria hii ndio kandamizi sababu mtu anaweza kuonewa na akaogopa kwenda mahakamani akihofia kushindwa kesi japo ana haki na kufutwa uanachama. Hamuoni kipengele hiki kinamnyima mtu haki yaki katiba? Wanasheria tusaidieni.
  16. ethicx

    Tundu Lissu rudi Shule

    Hoja yako ni ipi hapa, hujaeleweka!
  17. ethicx

    Tundu Lissu rudi Shule

    Kwani msajili wa vyama ndio mtoa tafsiri wa sheria inapoleta utata?
  18. ethicx

    Whatsapp calling activation

    Thanks mkuu. Sharing is caring
Back
Top Bottom