Search results

  1. L

    Wizara moja, Mawaziri 7 ndani ya miaka 7: Hivi ni kweli?

    Kama nimemsikia kagasheki kasema saba wakati anakabidhiwa office ya mama mkwe alikupo pale.
  2. L

    Wizara moja, Mawaziri 7 ndani ya miaka 7: Hivi ni kweli?

    Naomba kuuliza hivi ni kweli wizara ya maliasili na utalii imekuwa na mawaziri 7 ktk miaka 7 ya utawala wa kikwete.
  3. L

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Kumbe wewe apa ndo kibaruani.
  4. L

    Warioba: CCM ijiandae kuwa chama cha Upinzani

    Unajua wengi wanakwenda ccm kwa masilai binafsi kama kupata ubunge au uongonzi.naona chama kikikosa dola ndumilakuili wote watakimbia na ndo hao wenye nguvu ya pesa chama kitakosa govu na kufa.
  5. L

    Warioba: CCM ijiandae kuwa chama cha Upinzani

    Nimejaribu kukitasimini chama tawala kwa sasa na matatizo yake ya makundi,viongozi wachumia tumbo na mengine mengi nakajaribu kujiuliza ccm ikiachia dola kinaweza kuwa chama cha umpinzani chenye nguvu?
  6. L

    Zitto Kabwe, Halima Mdee na wasanii kibao ndani ya nyimbo ya Sajuki

    Mbona amjamwita nape akaweka voko nae au mna ogopa ufisadi.
  7. L

    Zitto Kabwe, Halima Mdee na wasanii kibao ndani ya nyimbo ya Sajuki

    Baba riz alijitoa kwa gharama zote yupo india sas,chezea baba riz wwe
  8. L

    Hukumu ya KESI inayomkabili John Mnyika (jimbo la Ubungo, submission leo)

    Mnyika akishinda mahakama itakuwa haijatenda haki kabisa,ushaidi upo wazi kabisa kwa kila jimbo ambalo ccm wameshidwa wali ibiwa kura.
  9. L

    Hukumu kesi ya Mnyika kunukia kesho

    Nazani mnyika atashidwa kesho,ajiandae kukata rufaa.
  10. L

    Katika hili siyo siri mh. Jk hapa umechemsha.

    Ninavyo mfahamu prof na mbatia wapinga kuteuliwa kwao kwa kigezo cha kuongeza mzigo kwa walalahoi.
  11. L

    Kama unawafaham jiunge wanasaidia

    Ebana m niliona ITV nakatamani kujiunga na hicho kikundi so mwenye taarifa anipatie.
  12. L

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    Sasa wewe unataka afanyeje ndio ccm wapo wengi wenye sifa wachache.
  13. L

    Jumuiya ya Uamsho ya Kiislamu wakusanya saini ya kutaka kura ya maoni juu ya Muungano

    Du wawape zanzi bar yao wasije wakaanza kujitoa muhanga uku kwetu Danganyika.
  14. L

    Ccm kuwafungulia kesi wabunge wa upinzani inamanisha nini?.

    Mzee makamba aliwambia wafungue kesi chama kitalipa gharama zote.
  15. L

    Kama unawafaham jiunge wanasaidia

    Jana niliona kwenye ITV habari za saa kwamba kuna kikundi cha profesition wasio na kazi (GPD) jamani tunijiunge na kundi hili,mwenye taarifa wapo wapi atoe habari.
  16. L

    Lowassa aongoza kamati ya bunge ziarani-Morocco

    Sasa tuta aminje kama habari yako niya kweli,tulikua tumeandaa sherehe fisadi anakufa ni ushindi kwetu Mungu anakuwa amejibu maombi yetu.
  17. L

    Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    Ikulu imeweza tena kutumia jeshi la police kubadili upepo wa siasa unaovuma kwa sasa,police wameagizwa wamkamate Dr slaa ili watu wawe kwenye epsodi ya slaa waache ishu ya uwajibakaji.
  18. L

    Dr.Mary Nagu: Katiba mpya itakuwa nzuri kama ya mwaka 1977

    Wanawake wakiwezeshwa wanaweza
  19. L

    Mimi Mgeni

    Weka number yako ya cm,picha yako na leta barua kutoka selikari ya mitaa na wazamini watatu ili upate kujadili humu jukwaani.
Back
Top Bottom