Hii ni sheria ya kawaida kabisa na ni lazima itekelezwe. Nchi zote zile duniani ukisha register gari ni lazima ulipie mpaka hapo utakapo iondoa from the register. Tusizoee mambo ya mkato mkato. .
From Kudi Shauri;
Someni Hii Article:
President Magufuli: Tanzania’s Robin Hood
By Global Risk Insights Published: June 17, 2016, 6:37 am
Print
thehabarinetwork.com
President John Magufuli may be reducing corruption and security risks but has also influenced a trend toward increased...
Pia alikuwa mke wa one of the Sukuma Chiefs - I think Chief Kidaha Makwaia. Mwalimu Nyerere alimteua Chief Makwaia kuwa Area Commissioner baada ya Uchief kufutwa Tanganyika mwaka 1962 na wote waliokuwa ma-chief wakawa ex-chiefs.
Mwaka 1965 ex-chief Makwaia alikuwa area commissioner wa Arusha na...
Soma hii article iliyo andikwa kwenye gazeti la Daily Nation la Nairobi a few days ago:
HERE is Dr David Ndii’s Opinion Piece that ANNOYED some Statehouse Operatives, calling for his ARREST
MARCH 27, 2016 39 COMMENTS
515Share
Tweet
2Share
0Share
A decade ago, Prof Bethuel Ogot, one of...
Magufuli embodies his nation's quality of virtue
By Makau Mutua Updated Sunday, December 20th 2015 at 00:00 GMT +3 Share this story: Share on Facebook Tweet Google Plus Linkedin 19 Comments
There's a veritable reason President John Pombe Magufuli is a Tanzanian, and not a Kenyan. It's the...
Magufuli embodies his nation's quality of virtue
By Makau Mutua Updated Sunday, December 20th 2015 at 00:00 GMT +3 Share this story: Share on Facebook Tweet Google Plus Linkedin 19 Comments
There?s a veritable reason President John Pombe Magufuli is a Tanzanian, and not a Kenyan. It?s the...
Rais Kikwete alialikwa kutoa hotuba hii katika mazishi ya Mzee Mandela kwa niaba ya the former Front Line States [FLS] zilizo ongoza mapambano ya kukomboa nchi za kusini mwa Afrika kuanzia Mozambique miaka ya 1960s. The FLS zilikuwa ziki-ongozwa na Mwalimu Nyerere mpaka mwaka 1985 alipostaafu...
Retirement Age ya maprofesa katika vyuo vikuu vya umma huko Kenya ni miaka 70 [sabini]. Pili, Profesa anaweza kupata mkataba wa kuajiriwa mpaka afikiapo miaka 80 ili mradi tu afya yake inamruhusu. Hata baada ya miaka 80 maprofesa wanaweza kuajiriwa kwa mikataba mifupi ya miezi mitatu mitatu...
Huyu Professor ni Kilaza kabisa - Asome Clause Number 19 ya Zanzibar Constitution ambayo ni very clear - Dini sii shughuli ya Nchi bali ya Mtu Binafsi.
19.(1) Every person has the right to freedom of thought or
conscience, belief or faith and choice in matters of religion, including
the...
The Professor is not a politician and I suspect he will pay heavily for his comments. Huwezi kuwaita wananchi waliotoa maoni yao kama ni mambumbu. Ilani ya CCM ya 2010 iliwa-promise hao wana Mtwara power station ya 300MW - kwa nini wanabadilisha sasa.
Pili hiyo Gas ya baharini anayoiongelea...
What will happen to this pipeline when more gas is discovered near Dar. We know that natural gas has already been discovered in Mkuranga and it is likely there will be even more gas discoveries in Temeke and other Coastal areas near DAR. Will the Government then send this Mkuranga/Temeke gas to...
Kuna hatari ya jambo hili kuigawa nchi. Wananchi wa Mtwara wana haki ya kuandamana kwa vile the whole issue hawakuelezwa vizuri. The lack of transparency in all these mineral and other infrastructure deals such as the Bagamoyo port project is going to kill this country.
There were two...
Mheshimiwa Lowasa alisomea degree ya Usanii hapo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam [BA in Drama and Theater Arts] - kwa hiyo wale wanao shindania kuwa Miss Tanzania wana mengi ya kujifunza toka kwake. Sioni swala lolote la kuhusisha ziara hii ya hawa kina Dada na kinyang'anyiro cha kugombea uteuzi wa...
Professor wa kwanza Watanzania naamini walikuwa Professors Arnold Temu and Isaria Kimambo in History. I think they became professors in early 1970s [1971?]. Before 1973 UDSM had the ranks of full Professor/Reader/Senior Lecturer/Lecturer/Assistant Lecturer. However from July 1973 this was...
The issue hapa sio kilichotokea kwenye kesi ya akina Zombe Mahakama kuu. The issue ni uchunguzi wa mauaji ya hao jamaa wa Mahenge ambao mwanzoni walisingiziwa kuwa walikuwa majambazi waliouwawa na Polisi. Tume Huru ikiongozwa na Jaji wa Mahakama Kuu ilidhibitisha hao jamaa hawakuwa majambazi...
Mwaka 2006 kulitokea mauaji ya wachimba madini kutoka Mahenge nje kidogo ya Dar es Salaam baada ya hao jamaa kukamatwa na Polisi. Rais Kikwete aliunda Tume Huru iliyo ongozwa na Jaji wa Mahakama kuu kuchunguza vifo hivi. Tume ilitoa ripoti yake na kulaumu Polisi kwa mauaji ya hao wachimba madini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.