Sasa si zamu ya Afrika, ni zamu ya Ulaya tena Ulaya Mashariki na Eurasia kama sikosei na wapendekezwa majina yameshaanza kuwasilishwa. Angalia hii link ya Tovuti ya Rais wa mkutano wa 70 wa Baraza Kuu la UM.
Procedure of Selecting and Appointing the next UN Secretary-General
Yaani anagusagusa juu juu tu bila kusema kimkakati atafanya nini! "Tupige vita hila, woga, ukatili katika utoaji huduma.." Kwa vipi? Hasemi! Labda mwishoni kwenye hitimisho!
Animal Farm cha George Orwell! Kinaweka bayana songombingo za siasa katika jamii vile ambavyo watu wanaweza kuw na mtazamo wa pamoja kuleta mabadiliko na hatimaye wakishamwondoa yule wanayeamini hafai basi wenyewe kwa wenyewe wanaanza kubaguana!
Inatakiwa ujiweke katika viatu vya jamaa au ndugu za hao maiti wanaoonyeshwa! Jiulize ungalifurahi kuona ndugu yako maii yake inaonyeshwa hovyo? Ni staha tu inatakiwa. Kwani ukionyesha maiti amekatwakatwa ndio inaongeza uhalali wa habari? Ni suala la kujipima! Kuomba radhi halafu kuonyesha picha...
Ni wachumia tumbo wasiojua hata maana ya siasa! Mwalimu Nyerere (R.I.P) asingalivumilia hiki kinachoendelea! Hata ukiwauliza itikadi ya chama chao ni nini, waeleze kwa maneno mawili tu hawawezi! Wanaimba muziki wasiojua hata msingi wa Noti zake wala maana ya maneno yake!
Tuna haki ya kuhoji kilichomo kwenye mikataba. Kma inaweka masharti mathalani ya kutoendeleza bandari zingine zilizo umbali fulani kutoka Bagamoyo, kweli huo ni mkataba wa maslahi ya Tanzania? Na waru wana haki ya kuhoji kwa kuwa mambo yanakuwa siri sirini tu! Lakini mambo yakiharibika tunaoumia...
Na ndio maana nasema siku zote hawa wachina wataendelea kuhakikisha uhusiano wao na TZ unakuwa wa kutupatia samaki na si kutuwezesha kuvua! Kijuu juu misaada inaonekana mikubwa lakini ukichimba ni practical to the extent that we will alwayz be on our knees waendelee kuwa marafiki kwa kuwakubalia...
Jamani si mbaya mtu akatembelea hii tovuti ya United Nations kuna ajira za aina mbali mbali, katika maeneo mbali mbali ingia weka CV yako na unaweza tafuta kama kuna nafasi imetqngazwa ambayo inakufaa... Jaribu!
Www.careers.un.org
Kila la kheri!
Asifiwe sana! Endelea kushika neno na ufanye kazi kwa bidii, huo ni mwanzo tarajia zaidi na zaidi huku ukiendelea kusali na kuchapa kazi! Ubunifu, kujiamini na kutambua jinsi ya kufanya kazi katika jamii yenye watu wa tamaduni tofauti! Ll the best!
Yaani bora umetoa ufafanuzi zaidi as watu huwa pengine hawazielewi au hawazioni na si lazima mtu azifahamu teleprompters au autocues kama hukumbani nazo kwenye kazi za kila siku au tu kudadisi kufahamu. Hata ma reporter wa mashirika makubwa wakiwa Live from locations mara nyingi hutumia na kwa...
Inategemea...akitoa hotuba za mwezi hutumia autocue...sasa uamuzi wa kuhamahama nayo kwenye maeneo mengine ya mkutano mfano uwanja wa taifa na maeneo mengine ni juu ya wale wanaosimamia mawasiliano. Ni uamuzi tu na uwezo wa wale wanaoiendesha as wengine huiendesha wenyewe from the...
Hakuwa anatoa kichwani, niliona autocue pale ambayo ni vioo viwili vinakuwa mbele yake juu kidogo ya Podium...bila shaka kuna mambo anayoweza kuongeza, hata Obama hutumia na viongoz wengi kwenye hizo hotuba zinazoandaliwa mapema. Unaweza google.....Presidential autocue or just autocue upate...
Ni aibu ni aibu na masikitiko makubwa... Na hata wakati anatangaza waziri hayo matokeo yuko na tabasamu...yaani unashamgaa hiviyuko makini kweli? Hivi wanafahamu namna hii tunaelekea wapi jamani? Dunia sasa ni kijiji kidogo tu bila elimu makini unatupwa kule mbali kabisa na kumeza na mamba! Sasa...
Katiba iliyotungwa na informed and empowered wananchi ndio jibu! Haiwezekani nchi kuongozwa na utashi wa mtu anavyoamka. Mtu hata hamwogopi Mungu, anaapa kuongoza kwa kushika kitabu kitakatifu lakini anayofanya ni madudu na siku ya Ibada ndio wa kwanza kwenye madhabahu! Tutunge katiba mpya...
Turekebishe katiba, mbunge akitenguliwa ubunge the next achukue nafasi, lakini akifa basi ndio uchaguzi ufanyike..hii ya kurudia kila uchaguzi kiti kikiwa wazi ni gharama kubwa kwa watanzania, inadhihirisha usemi kuwa demokrasia ni gharama, which I believe should not be so! Imagine majimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.