Search results

  1. A

    BA Baggage allowance

    Mtanzania, Idimu na Bi Kisura nashukuru sana kwa swala la 'baggage allowance', nitamshauri rafiki yangu kwa hili.
  2. A

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Haya tena, yaelekea Rostam hakuwa na skadi la maelezo ya kuhatarisha maslahi ya CCM au SiriKali... kama isemavyo hapo chini
  3. A

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Haya, Kubeana aendeleza mapambano....
  4. A

    BA Baggage allowance

    Wana JF Jamani nimeulizwa na msafiri mtarajiwa kuhusu swala la uzito wa 'checked in' na 'hand laggage' kwa flights za British Airways. Hii ni kwa sababu kwenye website ya BA kuna maelezo ambayo yanachanganya. Kwanza wanasema uzito wa checked in laggage ni 23kg, lakini unaweza kuruhusiwa...
  5. A

    Role of Indians in the Tanzanian Economy

    WanaJF, pengine ni vizuri kuangalia historia ya wafanyibiasha wa kiAsia ili kuona influence yao katika biashara Tanzania. Upembuzi huu hapa chini, ni mrefu kidogo, unatowa mwanga kwa swala hilo
  6. A

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Kina nani hawa.... baadhi ya majibu yaliyopo kwenye thread ya Chenge atua na kulonga Kuna wengine hapo hatuwajui bado, nani mwenye taarifa atusaidie kwa hilo!
  7. A

    Prof Shivji atunukiwa Kiti Cha Usomi cha Mwalimu Nyerere

    This is the description of the award
  8. A

    Prof Shivji atunukiwa Kiti Cha Usomi cha Mwalimu Nyerere

    Yes, without a doubt Prof Shivji deserve the honour to be the first research chair of Mwalimu JKN. He has long been one of the most articulate critics of the destructive effects of neoliberal policies in Africa, and in particular of the ways in which they have eroded the gains of...
  9. A

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Jamani, kwa wenye kujua mambo hebu tuambieni hawa waliopata faraja ya mshiko toka kwa paymaster general ni kina nani hawa, kwa nini wao, je kulikoni? Kutoka kwenye akaunti ya binafsi ya Chenge, mamilioni ya shilingi yamelipwa kwa watu mbalimbali wakiwa ni pamoja na Janet Mashale, Mary...
  10. A

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Mkuu Anasema kweli bwana, dola 1M ni vijisenti, fuatilia hiyo thread mpya CHENGE: The Paymaster General.....
  11. A

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Chenge kufuru tupu, amiliki bilioni 25 *Amchotea kigogo bilioni moja *Amwashia indiketa Ben Mkapa Na Saed Kubenea Follow the money....source http://www.halihalisi.co.tz/08/04/16/
  12. A

    Maasai Marathon

    Four out of six Maasai managed to reach the finish line of London Marathorn. Certainly it is obvious the run was not as easy as chasing a lion. Sadly, Isaya, their leader felt sick after few miles and was taken to hospital. The good news is, they have raised at least GBP 63,0000, more than the...
  13. A

    Maasai Marathon

    The donation so far is around GBP 26,000, not bad for the six warriors doing it for village water project..... enjoy The marathon is easy. There are no lions Six Maasai warriors will run the London Marathon tomorrow to raise money for a well in their village. Isaya, 24, is their chief...
  14. A

    Kashfa ya Richmond: The FACTS

    Mambo hayoo Jina Richmond lazua balaa Dar na Lucy Ngowi KASHFA ya Richmond iliyosababisha kujiuzulu kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, wiki iliyopita, na hatimaye kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri, imeanza kuzua balaa katika viunga vya Jiji la Dar es Salaam. Balaa hilo limeanza...
  15. A

    Utekelezaji wa kutangaza mali za viongozi wa umma

    Richmond Tower Apartments Katika pita pita yangu, nilifika kwenye hili jengo nikaongea na walinzi wakaniambia hizo apartments zinauzwa. Nikaomba nikutane na wahusika, nikapelekwa kwa mhindi supervisor wa jengo. Akaniambia apartments zote zimeshauzwa. Habari zaidi ni kwamba, gorofa ya kwanza...
Back
Top Bottom