Search results

  1. mnazi kipemba

    Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?

    Weka picha tumfahamu na sisi...ila umeshuka mistari sana...nahisi kuna jambo,...hata hivyo nampongeza jamaa ana kipaji...
  2. mnazi kipemba

    Dr. Dau yupo balozi nchi gani?

    Hahahaaha,chezea Dau Dua ya mwenye kudhurumiwa inapokelewa haraka na mwenyezi mungu...mnagongana vichwa tu,
  3. mnazi kipemba

    TANESCO Kigoma tuoneeni huruma

    Jamani TANESCO tuoneeni huruma. Washeni umeme tuangalie mkutano Dodoma...
  4. mnazi kipemba

    Looking for gentleman

    Halafu mnasema binafamu wote ni sawa?...huu ni upendeleo wa wazi wa mwenyezi mingu,na nasema huyu anenda peponi moja kwa moja
  5. mnazi kipemba

    Looking for gentleman

    Weka picha tukuone..labda we ni jini...
  6. mnazi kipemba

    Uongozi wa Rais Magufuli utapunguza sana misuguano ya kidini nchini

    OK,basis kama ni hivyo tunaelekea pazuri
  7. mnazi kipemba

    Uongozi wa Rais Magufuli utapunguza sana misuguano ya kidini nchini

    Kassim Majaliwa ni Muislam,katika utaratibu wa swala za Kiislam ni vigumu kwa asie muislam kushiriki,kwani zina masharti mengi ikiwe kanuni za usafi....
  8. mnazi kipemba

    Sijawahi kusikia askari wa aina yoyote aliefikia ngazi ya Uprofesa

    Nyongeza hapo kuna Dr.Superintendent of Police Adolfina Ngoso,(Ph.D)huyu yuko UN makao makuu NewYork USA
  9. mnazi kipemba

    Hizi fake ID za JF kidogo ziniletee balaa

    Hahahaaa,akaunti feki
  10. mnazi kipemba

    Niachane vipi na huu mchepuko?

    Nenda kwa mganga,kama vipi nikusaidie huju Kigoma wako wengi...hatokufuata tena hiyo.
  11. mnazi kipemba

    Ingawa ana mwanya, mbona anayo ndogo?

    Ana umri gani,kuwa makini hajakua hiyo...miaka 30 viboko na faini inakuhusu
  12. mnazi kipemba

    Harmonize na Jackline Wolper Wapigana (PICHA)

    Hahahaa,mi wala sikufikiria mabusu na wala ngumi...nilifikiria wamepigana mi#i
  13. mnazi kipemba

    Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

    Niko doria maeneo ya manzese,kuna jamaa wanapigana hapa,wala siwamulii...acha wauane
  14. mnazi kipemba

    Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

    Sawa kafiche makontena yako
  15. mnazi kipemba

    Lengo la waziri wa JK kubadili dini ni nini?

    Kachilimu?...nani huyo
  16. mnazi kipemba

    Mihemko ikizidi afanyeje?

    ....weka picha tuone hizo genye zake
  17. mnazi kipemba

    Serikali yawapa uraia Wasomali 1,450

    ANGALIZO...nilikuwepo kwenye hili tukio...hawa si wasomali asilia,historia yao babu zao walichukuliwa utumwa karne ya 19 toka maeneo ya handenj,kilindi tanga,bagamoyo pwani na sehemu ya turiani moro...kiasili hawa ni sazigua na hata wakiwa kule hawakuacha asili yao kkjwa pamoja na lugha ya...
  18. mnazi kipemba

    Umri wa Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru

    mwaka 1918,nakumbuka huyu mzee alikuwa sentafu wa timu ya tarafa kule NANJILINJI...Kilwa,wakati huo alikuwa na miaka kama 20....
  19. mnazi kipemba

    Ubishi wa nini? Tanganyika ipo haijaenziwa tu. Ushahidi huu hapa.

    hahahahaaaaaa,yaani kibanga umenichekesha sanaaa,...karubu niko kwenu kwachaga...handeni
  20. mnazi kipemba

    Nimempenda House Girl Wangu

    mpige tu,tena ndani ya chumba cha nkeo....ikiwezekana toa na chupi za mkeo mpe avae ...
Back
Top Bottom