Search results

  1. K

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Pia nakubaliana na hili
  2. K

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Mtoto hashibi kwa maana maziwa ya mama yake hayamtoshi. Chemsha uji mwembamba uchemke kweli yaani kwa muda mrefu. Mpe vijiko vichache anywe, kesho rudi na mrejesho.
  3. K

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Kwann usiseme tuanze na mkewe kwanza? Kifo ni fumbo. Waliokufa kwa corona ina maana wote walikufa na watu wao wa karibu?
  4. K

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Kwani unawajua walinzi wake wangapi? Ikitokea yupo au wapo waliofariki taarifa hzo utazipataje?
  5. K

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Polisi wanasheria yao, ukimdunda mtu ni lazma siku 99 zipite bila huyo mtu kudhurika ikiwepo kifo ndiyo mpigaji hatashtakiwa. Lakn ikiwa ndani ya hicho kipindi cha kipigo, lazma mpigaji awekwe ndani ya mikono salama hadi serikali ijiridhishe kuwa umauti wa victim hauna uhusiano wowote na kifo.
  6. K

    Job: Ni Yanga pekee inayoweza kumkanda Mamelodi Kwa Tanzania hapa

    Baada ya M'gul chmb kutembelea kambi yao kabla ya mechi
  7. K

    Kuwa mfanyabiashara mkubwa Tanzania bila ndumba au ulinzi wa wataalam inawezekana?

    Yuda walikuwa wawili, Yuda Thade na Yusa Simon (iskariote)
  8. K

    'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Matumizi ya kodi za wananchi siyo magari ya kifahari kwa wakuu. Bali matumizi yenye tija ili kuboresha maisha ya walipa kodi wenyewe.
  9. K

    'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Wapi kuna anayesoma bure? iNaonyesha kabisa popote ulipo na nafasi ulionayo umebebwa
  10. K

    'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Na kuna shule hazina matundu ya choo na ama wanakaa chini
  11. K

    Serikali kuondoa udhibiti wa sukari kutoka nje kisheria. Bashe adai anaenda kuwatikisa 'Big Boys'

    Magafuli anaingi madarakani situation kama hii ilitokea, hatua aliyochukua ni pamoja na msako kwa wanaoficha sukari. Yeye anashindwa nn kuchukua hio hatua wakt akisubir hilo la bunge
  12. K

    Serikali kuondoa udhibiti wa sukari kutoka nje kisheria. Bashe adai anaenda kuwatikisa 'Big Boys'

    Kama kaandaa muswada hadi kuupeleka bungeni sijui mwezi wa sita, kuna muda zaidi ya miezi mitatu ambayo inatosha kabisa kuwa compromised.
  13. K

    Serikali kuondoa udhibiti wa sukari kutoka nje kisheria. Bashe adai anaenda kuwatikisa 'Big Boys'

    Kwahiyo anasema hadharani hayo ili kuwatisha wenye viwanda ili wamwone au waongeze dau, kwa maana ya kwann asichukue hatua at first place ili wakilalamika yy ndiyo aje na haya majibu?
  14. K

    Serikali kuondoa udhibiti wa sukari kutoka nje kisheria. Bashe adai anaenda kuwatikisa 'Big Boys'

    Mawaziri na mamlaka husika zinajua hatua ya kuchukua, nnacho ona ni kuwa wanaweza wawe kwny malipo kutoka kwa wenye viwanda.
  15. K

    Serikali kuondoa udhibiti wa sukari kutoka nje kisheria. Bashe adai anaenda kuwatikisa 'Big Boys'

    Hoarding ni sabotage kwny uchumi. Nchi nyingi duniani swala hilo ni sawa na uhujumu uchumi. Wanacho kifanya hao wenye viwanda ni kupunguza uzalishaji, ama ku'store mzigo ghalani au vyote ili kutengeneza artificial scarcity kwa ajili ya kupandisha bei. Mawili, la kwanza tokeni hapo kwny dawati...
  16. K

    Ile sio miguno yenu acheni kutupigia makelele nyie viumbe

    Bila kelele au miguno ni sawa na kula ugali bila mboga. hata kama ana fake ni sawa tu, maana bubu simuwezi
  17. K

    Serikali 'yazilegezea' Bureau De Change kupambana na uhaba wa Dola

    Waondoe pia sheria ya kubadili dola hadi na kitambulisho, wahindi wataziachia
Back
Top Bottom