Search results

  1. ruston8919

    Napinga vikali tamko la wanaccm wa vyuo vikuu kuhusu urais wa nchi

    mimi kama mmoja wa marais ktk chuo kimojawapo mjini iringa napinga vikali upotoshaji unaofanywa na vijana wa ccm ambao wanajiita umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu na kukutana morogoro ambapo eti walimpendekeza makamba j. Kuwa mgombea urais wa nchi kwa kumpigia kura, ndugu zangu ifahamike kuwa...
  2. ruston8919

    Vyuo vikuu wampendekeza January Makamba kuwa Rais ajaye

    Kaka dickson hao labda ni marais wa chama cha mapinduzi, mimi ni rais wa chuo kimojawapo hapa nchini kwa sasa na hiyo taarifa ya kutumia jina la umoja wa wanafunzi wa vyuo kwa maslahi ya watu wachache ni uhuni na ninapinga vikali sana
  3. ruston8919

    Msaada kuhusu tuition nzuri ya o level na kituo cha mtihani

    wadau naomba msaada wa kufahamu wapi nimpeleke mdogo wangu kwa hapa dar ili apate pindi la kufa mtu ktk masomo ya arts yote ili arudie vyema mtihan, pia kama unajua kituo kizur cha pepa na utaratibu wa kujiandikisha kurudia
  4. ruston8919

    Viwanja na mashamba vinauzwa bei chee

    nina milioni 1
  5. ruston8919

    Naomba wazo la biashara wandugu

    suala la ada linatoka wap tena kwan nimekwambia nadaiwa ada? anyway thanks
  6. ruston8919

    Naomba wazo la biashara wandugu

    niko chuo kwa sasa iringa, likizo huwa nipo dar mara nyingi na mara kadhaa kilimanjaro. sasa nina kama 1 mil. nataka kufanya biashara yoyote yenye kuendana na mwanachuo kwa maana ya muda, pia nilifikiria kufanya biashara ya nguo ila cjui pa kuanzia, pia nilifikiria kufungua salon, na pia...
  7. ruston8919

    Wapi nitapata kadi ya chadema

    Uko wapi? Unasema kijijin, vijj vng tz
  8. ruston8919

    Ushauri: Slaa agombee uenyekiti CHADEMA

    mawazo yako ni mazuri ila huo ukabila wanauona ccm tu na kusahau kuwa majimbo yote hayatawaliwi na wachaga likiwepo iringa kwa kamanda msigwa.ccm wajtafakari yao ya kuwa chama cha matajiri na mtaji wao mkubwa kuwa wananchi maskini wa Tanzania.Hasa wakifikilia kukomboa jimbo badala ya kuwakomboa...
  9. ruston8919

    JK na watu wake ..mmeshindwa kutumia hata projector?

    Jamaa wametoa macho kinafiki, bora nife masikini na nisiwe na cheo chochote kuliko unafiki.
  10. ruston8919

    Shujaa wako mwaka 2012

    huyu ni kiboko yao
  11. ruston8919

    Kwanini Dr. Slaa hapendi kuhudhuria mazishi ya wasanii wetu?

    wacha akili mbovu wewe. mf. ktk msiba wa kanumba sugu alienda na wengine, wa sajuki zito kaenda. sasa unataka chadema nzima ihamie msibani
  12. ruston8919

    Tundu Lissu amkaanga Kikwete

    Acha unafiki umemzomea wap/
  13. ruston8919

    Kwa hili simuungi mkono Lema!

    sababu kubwa ni kwamba NMC hapafai mf. mvua ikinyesha hapakaliki
  14. ruston8919

    Chezea Jeshi wewe?? Jeshi lipo imara bhana!!

    watesema wameshawishiwa na chadema
  15. ruston8919

    Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    **** u, kamuombe mama mkwe wako ushaur
  16. ruston8919

    Hamisi Kigwangalla juu ya Boda Boda Arusha!

    Jaman hapo alikuwa anapiga picha hauon mguu wa dereva uko chini
  17. ruston8919

    Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

    wewe bayana kuwa mfuatiliaji wa mambo, hata chadema ikiingia madarakan inapingana na uataratibu wa mawaziri kutokana na wabunge, hivyo hoja yako hasa cjaielewa
Back
Top Bottom