Search results

  1. K

    Waraka wa Pandu Kificho wazua kizaazaa Dodoma. Wawakilishi wa CCM Z'bar wagawanyika

    Ni wazi ulipost hii mada umeongopa nipo dodoma nami nilikuwa nafutilia hili lakini kikao hakikufanyika zaidi ya wajumbe kuambia kitafanyika saa 2 usiku. Ombo langu jf tusifanye sehemu ya kuandika propaganda zaidi
  2. K

    Zanzibar: Imamu wa msikiti auwawa kikatili!

    Imamu wa Msikiti wa Mwakaje auawa: Taarifa zilizopo ni kuwa mtu mmoja anayeitwa Ali Khamis ambaye ni Imamu wa Msikiti Mkaazi wa Mwakaje amepigwa mapanga na watu wasiojulikana huko Kidoto Mkoa wa Kaskazini Unguja jana. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis...
  3. K

    Mbunge Asumpta Mshana na Mary Mwanjelwa hawajui msimamo wa serikali ya Israel

    Leo katika kipinsi cha maswali na majibu Mbunge wa Nkenge Asumpta Mshama na Mery Mwanjelwa (CCM), wameitaka Serikali itoe Maelezo kwa nini haijafungua Ubalozi nchini Israel kwani kutofanya hivyo ni kuikosea biblia na Tanzania itapata laana. Kutokana na hali hiyo Wabunge hawa hawajajua msimamo...
  4. K

    Tanzania Daima lamshambulia Zitto?

    Huwa napata shida sana na wana JF humu ndani ukizungumza udhaifu wa CDM utashambuliw alkini ukiweka post ya mazuri kila mtu atakusifu safi kamanda hakika wewe ni mapambanaji, ktk siasa za sasa ni lazima wana CDM wakubali kuw Zitto, ni tishio ndani ya CDM na nje ya CDM, na hata Picha yake kutumiw...
  5. K

    CHADEMA kupata ofisi mpya ya Makao Makuu-Mwenge

    MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mustafa Sabodo, emeamua kufanya kufuru katika siasa baada ya kuahidi kukijengea ofisi mpya ya kisasa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amesema kwamba, ameamua kufanya hivyo kwa kuwa hayo ni maandalizi ya chama hicho kuchukua nchi wakati wa...
  6. K

    JK kuvunja baraza la mawaziri baada ya sherehe za Muungano

    Ndg wa JF leo katika Gazeti la Jambo leo habari kubwa iliyotawala ni juu ya Rais Kikwete, kuwa kesho atavunja Baraza la Maziri lakini kila nikisoma habari yenyewe inakosa mashiko kutokana na huyun jamaa JK kutoeleweka na hata nikujiuliza je ni Kweli naweza kuvunja Baraza lake la Mawaziri...
  7. K

    Omari Nundu: Sioni sababu ya kujiuzulu

    Source ni mkutano wake na waandishi wa habari alioufanya leo hii mjini Dodoma saa 5 asubuhi ya leo
  8. K

    Omari Nundu: Sioni sababu ya kujiuzulu

    WAKATI Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitarajia kutoa tamko la kujiuzulu kwa mawaziri kadhaa, siri nzito zimeanza kufichuka baada ya Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu kumtupia kombora naibu wake, Mhandisi Athuman Mfutakamba. Waziri Nundu, alimtuhumu hadharani naibu wake, kwa kile alichodai...
  9. K

    ON STAR TV LIVE: Demokrasia Tanzania na Nafasi ya Vyama vya Upinzani

    Kuna kazi ya kufikia malego ya demokrasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa, ni muhimu vitambue nini mtanzani anahitaji. Sasa kama kuna mfumo ulio mzuri ni vema vikaungana na sio kupigana vijembe kama hapo vinavyopigwa na kambaya wa cuf na itutu wa adc.
  10. K

    Makamba Jr, Deo Filikunjombe, Dr. Kigwangalaah, Lugola wote ni wazee hawafai

    Yaelekea wewe ni mpuuzi kabisa hata vijana huwajui na leo hii unawatai wazee kina Deo Filikunjombe duh we mwehu kweli, nenda shule na yaelekea hujajipanga katika hoja yako, Deo Filikunjombe ni Kijana nasi wana Ludewa hadi tuseme basi naona wewe umetumwa na Pindi Chana, kuja kuchafua hali ya hewa...
  11. K

    Dr slaa live viwanja vya shycom shinyanga

    Napata shida sana na wanaomwita Dk. Slaa leo hii eti Rais hili linatoka wapi hakika hii ni kuiviza katiba waziwazi na kuleta ushabiki usiokuwa na tija kwa Taifa letu.
  12. K

    JK: Watakaofanya fujo tume ya katiba kukiona

    RAIS Jakaya Kikwete, amewaonya watu watakao fanya fujo watashughulikiwa na vyombo vya sheria ikiwemo kufikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya Katiba. Kauli ameitoa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwaapisha wajumbe wa tume ya kuratibu mabadiliko ya Katiba ya nchi...
  13. K

    Kumbe Lembeli anaishi gesti hana nyumba Kahama

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja, amevunja ukimya kwa kumtaka Mbunge wa Kahama James Lembele (CCM), kutogeuka ‘Mbwa mzee asiye na meno’ kwa kutafuta umaarufu kupitia jina lake huku akimuonya kwa kumwambia hana mamlaka ya kumng’oa katika nafasi hiyo bila kufuata...
  14. K

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Kwa mtindo huu CDM inaichukua miaka 100 ili kuitawala Tanzania udini ni sumu ambayo haina nafasi hata kdogo katika siasa zeti Tz yaelekea umetumwa na post yako hii ili uweze kuchafua hali ya hewa hapa JF
  15. K

    Huyo ndiye Prof. Lipumba nimjuae

    Tukiwa kama watanzania tuna haki ya kusifu mchango wa mtu au kundi kufulani, tunakubali mchango wa cdm ndani na nje ya bunge lakini hapa jf zikiwekwa post ya kumzunumzia mtu muhimu na makini kama profesa lipumba watu huhamaki na hata kutukana, lakini kubwa tujiulize ni nani asiyejua kuwa lipumba...
  16. K

    CHADEMA Kinondoni: Lema ni kama Mandela

    Pamoja na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kumvua Ubunge Godbless Lema, ni ushahidi tosha kuwa huyu ni Mpambanaji wa kweli Tanzania, hana hofu na kwake ubunge sio issue. "Ni bora kufa ukitetea haki kuliko kufa ukipiga magoti ja na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kumvua Ubunge Godbless Lema, ni...
  17. K

    Mbona simuelewi Mwenyekiti Mbowe?

    Najua wengi mmenishambulia eti tu kwa kutaja jina la mtu, lakini jamani tambueni gazeti hili ndilo lilikibeba chama chetu cha CDM ktk uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, mfano jana fedha wamelipwa Correspont hali ya kuwa waajiriwa hatujalipwa, ndg zangu si ugomvi ila tambueni JF ni darasa tosha la haki...
  18. K

    Mbona simuelewi Mwenyekiti Mbowe?

    Wakati Chadema kupitia Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe, wamekuwa watetezi wa haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa Gazeti la Tanzania Daima, wanalia njaa ya kukosa mishahara, je hili ndg zangu ni haki kwa kiongozi mkubwa kama huyu ambaye ameaminiwa na Watanzania...
  19. K

    Kauli ya mwalimu julius nyerere mwaka 1990

    Mimi nang'atuka lakini nitaendelea kuamini kuwa bila CCM mathubuti nchi itayumba" Kauli ya Mwalimu J.k.Nyerere aliitoa Mwaka 1990 mjini Dodoma.Hata hivyo pamoja na yote haya ina maana CCM kushindwa katika uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki ni dalili ya CCM kuyumba au nini, maana nchi ninaiona iko...
  20. K

    Mhe. Hyness Kiwia (Ilemela) yupo hoi Hospitali ya Muhimbili

    Hakika CCM wanachokifanya ni ujama wa hali ya juu, siasa leo zinalifikisha hapa Taifa letu, je waliofanya tukio hilo sasa wamepata faida gani. Hakika Mungu yupo na hasa wanaharakati wa wake kwa kila hali.
Back
Top Bottom