Search results

  1. Dark mode

    Naomba kufahamu Sheria ya Ardhi inasemaje kwenye hili

    Miaka kama mitano nyuma mkoa fulani niliwahi kuandikishana mkataba na mtu fulani. Nina kieneo ambacho ndani ya eneo hilo nilihesabu hatua kadhaa kumkatia mtu huyo kwa makubaliano ya kunijengea nyumba ya vyumba viwili na eneo lake ataliendeleza au kufanya lolote baada ya kumaliza ujenzi wa kile...
  2. Dark mode

    Naomba ufafanuzi kuhusu hili suala la mwili kufika nyuzi joto 39

    Jana usiku baada ya kutoka katika pilika pilika za hapa na pale na mfanyakazi mwenzangu ambae ni jirani yangu, muda wa kama saa sita usiku nikaenda kumgongea geto kwake kwa nja ya kuazima chaji. jirani alipofungua mlango pamoja na ile mvua na geni alikuwa amewasha ndani kwake lakini alikuwa...
  3. Dark mode

    Anaejua nafas za magereza zinatoka lini

    Naomba kw yyte anaifaham jesh la magereza wanatoa nafas lini mwaka u
  4. Dark mode

    Natafuta mpenzi

    Natafuta mwanadada mwenye mapenz ya kweli na mwenye kumjali mpenzi wake kwa vyovyote vile
  5. Dark mode

    Mri

    Jaman post za mri zitatoka lini?naomba mnisaidie
  6. Dark mode

    hi!

    iv jaman wizara ya afya intoa lini majibu yetu au kuna yoyote mwenye matokeo mana da wanatuweka nusu nusu
Back
Top Bottom