Lusu anadanganywa...kitendo Cha kumsema JPM Vibaya ndo mwisho wake ulipoanzia.Kuna wakati mama naye alianza kudanganywa eti kumsema vibaya Marehemu...Mvuto wake Kwa wananchi ulipotea kabisa.
Lissu Hana kitu Kwa Sasa.Hajui anachokisimamia Hadi Sasa.
KItendo Cha kumtukana JPM alikuwa anawatetea wanyonge..hapo ndo mwisho wake kisiasa ulipokuwa.
Ni kelele zisizo kuwa na impact yoyote.
Kwa ufupi,anatumika tu
Ukisoma comments za watu,unaweza dhani magufuli anachukiwa na watanzania.
Chuki dhidi ya JPM ni humu tu JF .Na humu ni kikundi Cha Watu Fulani wenye akaunti tatu tatu,wanaoshiriki kutoa shiti.
ila huwezi kusema vibaya publicly,IPO Siku mtu atapigwa jiwe Kwa kumsema Marehemu.
Hawana ujumbe Kwa wananchi utakao wafanya wawapokee km zamani.Watu wameshawashitukia kuwa ni wachumia tumbo tu na SI watetezi wa wananchi km walivyojiuza zamani kwao.
Nao madalali wa nchi hii tu.Mbowe alikuwa anafanya nini huko Kwa wazungu??
Sidhani kwani vyote hivyo vilifanywa na mzalendo JPM kupunguza mfumko wa Bei ya vyakula nchini.Hivyo wananchi wanajua kuwa yote hayo yalifanywa na MWAMBA,kuongea kinyume ni kumpinga... tayari utakuwa umekosana nao unaotegemea kura kutoka kwao.
In short ,JPM ALIFILISI KABISA HOJA ZA CDM.USALAMA...
Kila watakacho Kuja nacho, JPM alidhubutu kufanya Kwa taifa hili.Na huwezi ongea matatizo ya nchi hii bila kuongea jitihada za JPM katika kuziondoa.
Sasa wataawaambia nini wananchi Ili wawaelewe??na JPM walimpiga vita??Bora wangeungana nae kupinga ufisadi Leo hii wangepata Cha kuongea...
Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM.
Zaidi Mbowe yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown) kipindi vha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.