Search results

  1. B

    UKAWA wakifanya hili hakika ushindi ni dhahiri

    1. Kuhakikisha imesimamisha mawakala waaminifu na wasio na tamaa 2. Kutodharau udogo wa kituo kwani ukipeleka wakala asiye eleweka ataruhusu goli la mkono 3. Kutenga na kuwapa mawakala maslahi ya kutosha wasishawishike 4. Ikiwezekana wasipewe tu viapo vya mahakama lakini pia viapo vya dini...
  2. B

    Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    juzi nape akiwa kwenye mkutano izinga alinukuliwa akiwaambia watanzania wasimchague marehemu kwenda ikulu. Hii itasababisha watanzania kupiga Kura ya Hasira ya kuikaa CCM. Nani ajuaye kesho ya m wenzake? ina maana wanaompenda lowasa basi ni matiti Kama yeye lowasa ni marehemu!
  3. B

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Matokeo hata ya Twaweza yalijulika karibu wiki imepita na Kila mtanzania pamoja na wanaccm wanajua bila kubali umri na Mahali alili anajua sio halisi na lengo ni kupotosha UMMA kukubalika kwa lowasa. Hatua matokeo ya wapi kwenye mtandao yanaonyesha lowasa kuingiza kwa zaidi ya aailimia...
  4. B

    Nani ataongoza kampeni za Magufuli?

    Kama atajikita umaliziwadi wa mchakato wa katiba pendekezwa utamgharimu magufuli sana. Labda awahakikishie watanzania kwamba ataanza mchakato kwa kuheshimu naoni ya tume ya jaji warioba.
  5. B

    Hali hii ya huyu house girl inatisha

    Niliagiza house girl yapata miezi 10 imepita ili achukue nafasi ya aliyekuwepo ambaye sasa nimempeleka ufundi baada ya kumlea first born vizuri. Juzi nimepata second born ila huyu house girl mpya imegundulika ana majini na yakimpanda hakuna kulala, anakimbia hovyo, anatambaa kama nyoka na kuna...
  6. B

    Chonde chonde kinamama kinadada fungukeni katika hili

    Sasa kama hata DNA haiaminiki tukimbilie wapi?????
  7. B

    Chonde chonde kinamama kinadada fungukeni katika hili

    Mtaani kuna mtoto anafanana na jirani hadi aibu ila hakuna jinsi maumivu ndani kwa ndani
  8. B

    Chonde chonde kinamama kinadada fungukeni katika hili

    Kwa tathmini ya haraka niliyofanya katika kila wanaume 10 ni 4 kati yao wenye kujiamini kwamba watoto alionao ni wake wa kuzaa kwani wengi wa wanaume hulea watoto kwa imani na hawako tayari kupima DNA kwa hofu ya matokeo. Please kinadada na kinamama fungukeni katika hili. Heri ya xmass wote.
  9. B

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Baada ya Cdm kujua nguvu ya CCM ni kuhonga hela ilihali wakijua ndo njia pekee CCM wamebakiwa nayo kushinda kabla ya masaa kadhaa kabla ya siku ya kupiga kura,walichomua vijana wa CDM ni kujipanga usiku na mawe,akijotokea magamba na bahasha usiku karibu na nyumba ya mtu anavurumishiwa mawe na...
  10. B

    kuna nini Arusha panguapangua wakuu wa mikoa?

    Kwa kipindi kisichozidi miezi miwili,aliyekuwa mkuu wa mkoa arusha alipelekwa mwanza na wa mwanza kuja ars. Kabla hata hajakaa kwenye kiti aliyeletwa ars kaondolewa na kuteuliwa mkuu mwingine wa mkoa! Sababu ya haya kutokea ni nini?hizi gharama za uhamisho si kuchezea kodi zetu?
  11. B

    Yaliyojiri sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru: Jumanne, Tarehe 9 Desemba, 2014

    Wanajamvi leo tunaadhimisha miaka 53 ya uhuru kwa watanganyika wote.Naamini tungeuenzi uhuru kwa kudumisha amani,uzalendo na kupiga vita ufisadi.Sidhani kama ni hekima kuwa na kauli mbiu isemaye kuwa mzalendo kwa kupigia kura katiba pendekezwa ili hali ni katiba iliyopuuza maoni ya wananchi na...
  12. B

    Mkakati wa kuimaliza CHADEMA Moshi wabainika

    Ndugu wanajamvi!Mbunge viti maalum (CCM)amebainika akitumia mbinu chafu ya kutumia idara ya maendeleo ya jamii moshi vijiji kupanga mkakati wa kugawa vyombo vya ndani kwa wapiga kura kama vikombe,bakuli,sahani nk kwa wapiga kura kwa sharti la kuchagua CCM kuanzia ngazi ya shina,mtaa,kata na...
  13. B

    Binti wa kiiraq(mtoto wa kimbulu) kanishika msaada tafadhali

    Mwenyewe nimeoa huko kijiji hicho hicho na huu mwaka wa tano sijaona tatizo lolote. Sikiliza moyo na tii sauti ya moyo wako
  14. B

    Uchepukaji salama

    Wazo la kuwekeza kwa wake zetu ni zuri ila chukulia mkewe kakeketwa na u lipoonja ambaye hajakeketwa ukachanganyikiwa!Hapo utafanyaje mkewe aweze kuziba hilo pengo?
  15. B

    Uchepukaji salama

    Suala la uchepukaji limekuwa haliepukiki na limekuwa changamoto kwa watu wengi. Sishauri sana ila kama imekulazimu kuchepuka chukua tahadhari zifuatazo uwe salama; 1.Uwazi: Uwe wazi kwa huyo unaemchepukia kwamba una njia kuu(mke)na anapaswa kumuheshimu 2.Muda wa mawasiliano: Kamwe asikupigie...
  16. B

    Kauli ya waziri mkuu ni kuidhalilisha serikali

    Waziri mkuu amenukuliwa akijibu bungeni leo kwamba wafadhili wamekatisha misaada Tanzania baada ya serikali kuchelewa kulishughulikia suala la ufisadi fedha za Escrow!Je ni jukumu la nani kufanya uchunguzi? Pili,kama uchunguzi ulifanyika kwa nini ripoti haitoki? Tatu,wananchi tuieleweje...
  17. B

    Channel 10: Tundu Lissu anachambua katiba pendekezwa

    Wanajukwaa,Tundu Lissu yuko live anachambua rasimu pendekezwa,magamba tumbo moto.
  18. B

    Tafsiri ya watawala kuogopa au kuvuruga midahalo!

    Ni haki ya kikatiba kutoa maoni na haki ya watanzania kupata taarifa pia. Kwa mtizamo wangu hofu ya watawala ni kuogopa watanzania kufunguliwa macho kwa kujua ubovu wa katiba pendekezwa. Pili ni kudhihirisha dhahiri uchakachuaji wa maoni ya wananchi kwani ni kwa nini nguvu kubwa itumike kuvuruga????
  19. B

    Dar express jirekebisheni, otherwise!

    Nimepanda basi la dar express kwenda arusha than nairobi. Kinachonishangaza pamoja na safari ndefu ya basi bado linaendelea kuokota abiria wa njiani mara same,mwanga,moshi n.k MNATUBOA ABIRIA
  20. B

    Rais Kikwete mgeni rasmi ujenzi Kituo cha michezo Kidongo Chekundu

    Du!Toka lini amekua profesa!Ukitaka kusoma kwa haraka uwe mwanasiasa!lipumba ni profesa aliyebobea mambo ya uchumi. Je K.J ni profesa wa mambo gani?
Back
Top Bottom