UKAWA wakifanya hili hakika ushindi ni dhahiri

UKAWA wakifanya hili hakika ushindi ni dhahiri

Baba C

Senior Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
125
Reaction score
55
1. Kuhakikisha imesimamisha mawakala waaminifu na wasio na tamaa

2. Kutodharau udogo wa kituo kwani ukipeleka wakala asiye eleweka ataruhusu goli la mkono

3. Kutenga na kuwapa mawakala maslahi ya kutosha wasishawishike

4. Ikiwezekana wasipewe tu viapo vya mahakama lakini pia viapo vya dini na kimila.

Hili ndiyo bado la mkono na njia pekee itakayo tegemewa na CCM.

Karibu kwa mchango na mbinu nyingine
 
Back
Top Bottom