Search results

  1. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    muungano huu wa kulazimisha tununue sukari ya upande mmoja,tutumie Zantel huku? tuangalie jamani tusilazimishane kutumia bidhaa za huko! !chonde chonde
  2. M

    Trafiki na ubambikaji wa makosa ya barabarani

    jamani wenye mamlaka wasikie vilio vyetu,ukiendesha gari ya kirai unashida!mimi nilibambikiwa kupita kwenye zebra wakati waenda kwa miguu wanavuka ! nilitakiwa kulipa elf 30 jamani muwe na huruma, Tz tu polisi ni sehemu ya kukusanya pato la serikali
  3. M

    Sakata la IMMMA: Rais wa TLS, Tundu Lissu atoa maazimio ya Baraza la Uongozi. Wapanga kugoma siku mbili

    Wakuu naomba kuuliza kosa la lissu kuwa chadema,au mwanasheria? hamuoni hata jambo 1 la kweli?
  4. M

    Moshi hongereni kwa usafi; abiria aaibika

    Wanafagia mpaka "KICHUMINI" NI NENO LA kichaga
  5. M

    Wasifu wa Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe

    SIYO yuko mlangoni?... teh teh teh!
  6. M

    Simba SC v Young Africans SC

    Simba imeshachukuliwa na wahindi je? itabadilishwa jina kuwa..... 'Singida united?' aah maswali machache tu povu linakutoka la nini?
  7. M

    Kutembea ukiwa usingizini

    Kihospitali wanahusishasha na ugonjwa wa kifafa cha usingizi kwahiyo mtu anayesumbuliwa na hali hiyo anashauriwa kumuona tabibu wa magonjwa ya ndani
  8. M

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Tuwaombee wasiwe na umoja hata siku moja! Tuwasifie kwa kila ujinga wanaofanya tutakuwa tunawafunga tu! zamani marehemu Mzee kisimba aliwambia wale wana "umoja madhubuti"
  9. M

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Niliandika kwenu kuuliza kuhusu king'amuzi changu cha startime hadi leo hakuna jibu ! tabia zimeongezeka matangazo yanakatika kwa siku 2 inaandika "No sginal" ghafla inarudi 02035198984 msaada p/s
  10. M

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    02035198984 sipati tbc zote,sipati chanel 10, nafikilia kuhama mnisaidie wajemeni
  11. M

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Tafadhali nisaidie huwa na nyolewa nywele na mavuzi usiku na kuchanjwa chale,wanaingia vipi ndani nakunifanyia vitu hivyo?
  12. M

    Pikipiki na ajali, nini kifanyike?

    Ugoro na viroba "secrete"
  13. M

    Pikipiki na ajali, nini kifanyike?

    Ugoro na viroba "secrete"
  14. M

    Apata kipigo kwa kuwaita wenzake chura

    Teh teh! kumbe Chura ni wamatopeni! wako wengi hasa wasambaa!
  15. M

    Pikipiki na ajali, nini kifanyike?

    donbeny nimewaomba wadau wa tbs,polisi na veta kama wanaweza kuja na mitala ya uelimishaji kwa waendeshaji wa pikipiki
  16. M

    Pikipiki na ajali, nini kifanyike?

    PIKIPIKI NA AJALI Nasikitishwa na pikipiki katika kipindi hiki zinaua sana!Wataalamu mtusaidie ni uendeshaji au undwaji wa pikipiki hizo? Kama taifa tuliangalie kuwa ni janga jingine kwa taifa hili tunapoteza nguvu kazi kubwa ya rasilimali watu hasa vijana. Tunaomba msaada wa wadau kila kada...
  17. M

    Kufanya mapenzi kwa simu

    Kwanza huna wasiwasi wa kuambukizwa!
  18. M

    Kufanya mapenzi kwa simu

    Huu mtindo unatumiwa sana Ughaibuni huku kwetu tunao kozi meni wengi mpaka wazee hasa Mombasa na Tanga
  19. M

    Kufanya mapenzi kwa mwaka mara nne

    Pole wa nyumbani lkn unapaswa kutumia akili sana kuishi na mwanamke!
Back
Top Bottom