Tunaheshimu mawazo yako, lkn hatufanyi mkono
1-wewe unaweza usiwe kijana na ukatumia fimbo hii kuwaadhibu vijana
2-Suala la kunga'nga'nia madaraka haitokani sana na umri bali, Tabia za ulafi, ubinafsi, mifumo mbovu na usimamizi mbaya wa sheria na taratibu
3-lazima utofautishe Ujana na Utoto...
Ipo siku Tabaka dhulumiwa litaamua
1-Liendelee kudhurumiwa (udhaifu
2-Lipambane kwa hali yeyote ili kuondoa dhuruma,hata kama kupambana kutamanisha kupoteza kile lilichokiogopea kupotea.
Jaman hivi nyie hamjapitia utoto? Ukinunuliwa viatu au nguo mpya unaonaje,au kama ni likizo halafu kuna safari ya kutembelea ndg na jamaa hata kama nguo mpya ilikuwa ni kwa ajili ya baridi na kunajoto ulifanyaje!?[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23]
Inategemeana na kipimo unayotumia kupimia unafuu ni cha aina gani.
Huenda ni unafuu kwa kuwa unachofanya hauhitaji kikue,
Huenda unachofanya ni kidogo sana hata adhari ya uchumi kuyumba huioni,
Huenda pia unchofanya ni cha kutegemea hali ya hewa tu kinaimarika
Au huna malengo makubwa na...
Ndiyo haiwezi kutokea lakini kiwe na balance maana kwa wakati huu wenye unafuu ni watu walioko katika system ya utawala na kidogo na wafanyakazi wa serikali
Mimi nadhani kila kitu kilichopo hapa Duniani kina sababu zake na sababu hutangulia kabla ya uwepo wa kitu chenyewe, pia jina hili nadhani ipo sababu mahususi iliyopelekea kuwepo, na nadhani inajulikana au kama haijulikani itafutwe halafu ifanyiwe uchunguzi na kisha kuanza kampeni ya kivitendo...
Naona kama kuamini ivo ni utumwa wa fikra, kwani usd ni kitu gani mpaka isitikiswe , ni sarafu inapewa nguvu kwakuwa na matumizi na nchi nyingi kwa ivo kama nchi zikijitoa lazima itayumba tu, na pia kuna uwezekano wa kuiondoa katika sarafu zenye nguvu
Hapa ndipo nimeanza kuelewa msinginwa post yako, kumbe unafanya kitu unachokijua na unajua lengo! Haiwezekani udanganye watu kuwa katika NWO system unayoipigia upaku eti kila kitu kitakuwa bure ili kuleta usawa, hili neno usawa kwanza inatakiwa uliondowe katika misamiati yako kama kweli wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.