Search results

  1. A

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Roho wa Mungu akuongoze katika hilo na isije ikawa katika hali ya kimwili.
  2. A

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Nkamu, angalia na usikilize moyo wako unasema nini juu ya hilo na mwisho wa siku wewe mwenyewe ndiye utakayekabiliana na matokeo yake kulingana na maamuzi yako na hakuna mwingine. Lingine nkamu, watoto uwe pamoja nao, wasiwe mbali nawe. Narudia tena kukushauri, usifanye haraka kuhusu maamuzi...
  3. A

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Mkuu, hiyo isikupe shida sana na kuunyong'onyesha moyo wako. Maisha yenyewe haya ni mafupi angalia usije ukapata shida nyingine katika nafsi yako. Nimesoma ushauri mbalimbali wa wadau ambao wameeleza hisia zao mbalimbali na baadhi ya wengine wakishauri umwache. Lakini pia na yeye mkeo...
  4. A

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Mfahamu, akufahamu vizuri na usiwe na haraka ya kuingia katika ndoa. Uzuri wake umeshapitia mapito hayo na unafahamu tamu na shubiri ya ndoa mwanawani. Angalia watoto wako Mungu aliokupa kwani hao ndio faraja yako. Kama yeye ana watoto na wewe una watoto, basi muendelee kuishi kama...
  5. A

    Mwanamke anahitajika

    🙏
  6. A

    Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

    Umeshapata? Me I'm serious
  7. A

    Mwanamke anahitajika

    Sawa, karibu
  8. A

    Mwanamke anahitajika

    Sawa
  9. A

    Husband Needed

    Mwambie akuje, mi nipo tayari
  10. A

    Husband Needed

    Umeshapata?
  11. A

    Sheria ya gari kugonga treni imeshafutwa Ulaya

    Nimeona kule, lakini reply imefungwa, sijui shida imekuwa nini?
  12. A

    Mwanamke anahitajika

    Asante
  13. A

    Mwanamke anahitajika

    Mwanamke mwenye nia na hitaji la kuolewa aliye na umri kati ya miaka 38 - 48 anahitajika. Awe na kazi inayomuingizia kipato na mwenye elimu ya kuanzia Diploma na kuendelea. Nina kazi, elimu yangu ni ya kati na umri ni kati ya miaka 45 - 50.
Back
Top Bottom