Kuna kijana anataka kusoma degree bado yupo njia panda kutokana na vigezo na pendekezo lake kuna Business administration, Public administration na HR je? ni ipi ni kozi nzuri kulingana na soko la ajira.
Samahani kwa jinsi nilivyo andika ila cha msingi ni maana ya nilichokiandika. Kwa njia moja ama nyingine wapo mwanafunzi wanaokosa ushauli kwa watu wanaowazunguka na wanakuja sehem kama hizi kuomba ushauli hivyo msiwakosoe bila kuwashauli
Habar natumai wazima nawaomba mnishauli
Nimemaliza diploma TPSC (Tanzania Public Service College) course Record, information and archive management GPA 3.0
Natamani niombe mkopo ilinendelee kusoma degree hususa accountancy je nimekidhi vigezo na ni chuo gani kizuri kwa kozi hiyo
Wakuu msaada sawali hivi iwapo mtu Anataka kuomba mkopo wa elimu ya juu alaf mzazi wake mmoja amefariki je Kuna ulazima wa chetcha Kifo ikiwa cheti chat kuzaliwa kimebainisha kama mzazi amefarik
Wakuu msaada sawali hivi iwapo mtu Anataka kuomba mkopo wa elimu ya juu alaf mzazi wake mmoja amefariki je Kuna ulazima wa chetcha Kifo ikiwa cheti chat kuzaliwa kimebainisha kama mzazi amefarik
Iamavniana sawali hivi iwapo mtu Anataka kuomba mkopo wa elimu ya juu alaf mzazi wake mmoja amefariki je Kuna ulazima wa chetcha Kifo ikiwa cheti chat kuzaliwa kimebainisha kama mzazi amefarik
Miaka mingi toka nchi yetu imepata Uhuru, lakini mpaka leo ina kero nyingi mno. Nafikiri viongozi kuna sehemu kubwa tu wanashidwa kufanya vitu kwa ajili ya waliowadhamini
Ninacho fahamu hakuna mchezaji mbaya duniani ila vitu vitatu vikiungana unaweza kupata mchezaji bora 1, uwezo wa mchezaji binafsi, 2 mbinu za mwalimu kisha 3 falsafa ya mwalimu na benchi la ufundi ndio maana mchezaji anafeli sehemu na kufanikiwa sehem mfano nafikiri benchika anapenda timu itokea...
Kuhusu scouting inaebdana na falsafa ya timu na mahitaji ya kocha mfano simba ina falsafa ya pasi fupifupi kuanzia chini ndio maana simba inapoteza sana mipira ya juu kisha unavyo iona yanga inacheza mpira direct ndio maana scouting zinatofautiana
Usajiri ni kamali hata timu kubwa kama real madrid, maan U man City, arsenal pia zinafeli kwenye usajiri mfano haaaataaaa injinia pia amfeli kwa konkoni, skudu, ngushi, metacha, na yule kipa mwingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.