Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,239
- 8,499
Kama Simba tu meifunga mpk leo hii mnaukumbuka ushindi ili hali mashabiki wa Simba wamesahau.View attachment 2848901
Kiburi na jeuri ndo imefanya mmekufa kibudu
Kwa mfano mngeifunga Al Ahly, Wydad, Mamelod au Al Hilal hizo bao 5? Mngefanya bonge la sherehe na ingekuwa mapumziko ya wiki nzima kukumbuka ushindi
Mngekuwa bora sana kuliko Simba msingefungwa 3-0 na Bulzadad Algeria πππππ