Search results

  1. Sisomeki

    Utata wa siku 3 za Yesu na hesabu zetu

    Kazi ipo mkuu, lakini still kuna watu wanaleta ufafanuzi. Bila Facts ya kilichoandikwa.
  2. Sisomeki

    Utata wa siku 3 za Yesu na hesabu zetu

    Au tuseme hakuuwawa ijumaa, kama wajuavyo.
  3. Sisomeki

    Makala: Haya ya Rose Muhando ni mapito au anguko?

    Please bro, niambie hizo habari za Lucifer amekuapa nani? kama Mungu alikushukia akakuhadithia story za Lucifer andika hiyo experience yako. lakini kama umesoma mastory na simulizi za watu wengine trust me you have bamboozled na hicho kitabu cha ufunuo kimeandikwa na wajanja janja kushika akili...
  4. Sisomeki

    Makala: Haya ya Rose Muhando ni mapito au anguko?

    kwanini binadamu tunafikiri au kuwaza kwamba kuna ufalme mwingine unapambana na Mungu? Huyu huyu aliyeziumba mbingu na nchi? huyu huyu aliyetengeneza na kufanya kila kitu katika uso wa nchi? Lazima tunamatatizo ya kimtazamo pia hatupendi kuwaza zaidi ya hadithi tunazopigiwa na wajanja janja...
  5. Sisomeki

    Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Think more.... kwanini wazungu walitaka kumuua Yesu mzungu mwezao akakimbilia Africa kwa watu weusi?
  6. Sisomeki

    Ukweli mchungu: Sababu kwanini walokole hawawezi kuwashinda wachawi

    Highlighted part I agree, John in the book of Revelation was told not to write some of the vision as was a secret. Rev 10: 4
  7. Sisomeki

    Ukweli mchungu: Sababu kwanini walokole hawawezi kuwashinda wachawi

    Angalizo! shetani sio kiumbe... shetani ni nafsi ya mtu kugengeuka na kuwa muasi, Mungu hawezi kuhukumu wanadamu kwasababu eti kiumbe fulani kawakengeusha Blaza shetani sio kiumbe..... Aliyempeleka Yesu mlimani ni Roho Mtakatifu. Yesu alijaribiwa na nafsi yake mwenyewe kuona kama...
  8. Sisomeki

    Ukweli mchungu: Sababu kwanini walokole hawawezi kuwashinda wachawi

    The old adage "If you can't beat them, join them".
  9. Sisomeki

    Ukweli mchungu: Sababu kwanini walokole hawawezi kuwashinda wachawi

    Habari mkuu, unajua kuwa hakuna shetani? Kuna mapepo, a.k.a majini n.k? Shetani sio kiumbe. Shetani ni uovu yaani tamaa, uasi, roho mbaya, n.k.....(ushetani) na haujaumbwa hali hii haikuwahi kuwepo kabla kwa mara ya kwanza ilionekana kwa nyoka kwenye bustani ya Eden.... Sasa ukisema ulokole...
  10. Sisomeki

    Eti, WiFi ya Dreamliner inapatikana kwenye injini? Mbona ni ukarabati wa injini au ndio service?

    Achana na dreamliner boss hizo ni porojo tu.... kuficha technology yake.
  11. Sisomeki

    Eti, WiFi ya Dreamliner inapatikana kwenye injini? Mbona ni ukarabati wa injini au ndio service?

    WaTZ tuachage ushabiki wa mambo tusiyoyaelewa. labda issue because ipo moja tu ndio maana mimacho inatutoka... tuwe na tabia ya kuelewa mambo sio lazima kila kitu tuelezewee.... ni kwamba hii ndege ni ya kisasa sana, sasa lazima iwe inafanyiwa ukaguzi mara kwa mara, ili kumaitain ubora wake...
  12. Sisomeki

    Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Roman Empire - Later Roman Catholic Church Bila kupoteza maana halisi Mungu ni kweli, Yesu Kristo ni kweli. Ila kuna genge la watu fulani mahali fulani waliamua kuchakachua nyaraka mbali mbali zilizoandikwa na waliotangulia kwenye imani... kwa nia ovu kabisa ya kupotosha au kuleta sintofahamu...
  13. Sisomeki

    Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Mkuu hii mada ni moto sana na inahitaji watu watulivu kifkira kuelewa. MDO 2:17 "Katika siku zile za mwisho, asema Bwana, nitawamiminia binadamu wote Roho wangu. Watoto wenu, wanaume kwa wanawake, watautangaza ujumbe wangu; vijana wenu wataona maono, na wazee wenu wataota ndoto."
  14. Sisomeki

    Upigaji picha Vitambulisho vya Taifa zoezi lenye dosari nyingi

    Naomba mssada kufahamu kwa wakazi wa Bunju, Tegeta yote zoezi la kupata vitambulisho vya uraia ni wapi?
  15. Sisomeki

    Carol Ndosi ni nani haswa?

    CarolNdosi Keep it up and stay strong, keep on fighting hongera sana, stay blessed. CARONDO
Back
Top Bottom