Search results

  1. A

    Natafuta Noah, nina miliioni 9

    Habari wadau, Nawatakia sikukuu njema, ndugu yangu anatafuta gari NOAH, model ya zamani, nina million 9
  2. A

    Expression of interest- provision of services- travel-cleaning- repair of moto vehicles etc

    EXPRESSION OF INTEREST TO SUPPLY SERVICES FOR CBM COUNTRY OFFICE TANZANIA, 2016/2017. General information: CBM is an international Christian development organisation, committed to improving the quality of life of persons with disabilities in the poorest countries of the world. Objectives of...
  3. A

    Okoa fedha na muda kwa kufwata ulipo, fashion designing na ushonaji

    ………….MAPINDUZI KTK MAVAZI…………………. Mobile Tailoring and Fashion Designing (Huduma Inakufuata Ulipo-Okoa muda na fedha) -Kwa nini usumbuke kwenda kwa Fundi wakati unaweza kufuatwa ofisini au nyumbani kwako. -Kama upo Dar es Salaam- Piga 0715 680773/0687 048421 Utafuatwa, Utafanyiwa Fashion...
  4. A

    Msomo ya fashion designing & beuaty nafasi 3 ni bure kabisa

    MASOMO- BURE KWA WENYE SIFA. - USHONAJI NA FASHION DESIGNING TRUE ROAD COLLEGE OF DESIGNING, TAILORING AND BEAUTY -Inapenda kutangaza kwamba inatoa fursa/nafasi 3 Kwa mafunzo ya kushona na Fashion designing ktk chuo chake kilichopo DSM, TABATA DA WEST. Kama kuna mtu unamfahamu...
  5. A

    Masomo bure, nafasi 3 fashion designing

    MASOMO- BURE KWA WENYE SIFA . - USHONAJI NA FASHION DESIGNING TRUE ROAD COLLEGE OF DESIGNING, TAILORING AND BEAUTY -Inapenda kutangaza kwamba inatoa fursa/nafasi 3 Kwa mafunzo ya kushona na Fashion designing ktk chuo chake kilichopo DSM, TABATA DA WEST. Kama kuna mtu unamfahamu...
  6. A

    Masomo: Fashion design, Tailoring & Beauty

    Chuo kipo Tabata DA WEST-Dsm........0715 680 773
  7. A

    Masomo: Fashion design, Tailoring & Beauty

    TRUE ROAD COLLEGE of FASHION, TAILORING & BEAUTY STUDIES MSIMU MPYA- TUNAANZA MASOMO TAREHE 6 APRIL,2015. Usajili Unaendelea. JISAJILI SASA-(Kupitia chuoni DA WEST au OFISI zetu Kimanga stendi)…… Waweza kutumia form kwa njia ya mtandao- Utalipia unaporudisha form. FASHION &...
  8. A

    Fashion designing, Tailoring & Salon studies, Tabata Dar West

    Upo sahihi bW. Geophrey, vitambaa vya jeans vipi, mlete kijana tu, tumfundishe
  9. A

    Fashion designing, Tailoring & Salon studies, Tabata Dar West

    MAHALI: DAR WEST- TABATA MASOMO YANAYOFUNDISHWA 1. Fashion aina zote-Nguo za kawaida, mitindo aina yote, nguo za send-off, Kitchen Part, Harusi nk 2. Salon- Kupamba Maharusi, Kusuka, Kuweka dawa, weaving, rollers, Kufunga Vilemba. nk WALENGWA: Wanaoanza kabisa (Beginners Class) Wenye...
  10. A

    Moto wazuka Hosteli za Mabibo

    Kuna taarifa kwamba moto mkubwa umezuka muda huu mabibo hostel. Mwenye ndugu pale,au jamaa aulize na atupe undani zaidi ==================== Taarifa zlizotufikia hivi punde ni kuwa moto mkubwa umezuka katika Jengo B lililopo ndani ya Mabibo Hostel zinazomilikiwa na kuendeshwa na Chuo Kikuu...
  11. A

    Fashion designing, Tailoring & Salon studies, Tabata Dar West

    Asante kwa ushauri, Wanaoanza kabisa (Beginners Class)..............Tshs 200,000.....huchukua mwezi mmoja Wenye uzoefu kidogo (Intermediate Class),,,,,,Tshs 250,000......huchukua mwezi mmoja Utaalamu maalumu (Master Class),,,,,,,,,,,,,,,,,,,Tshs 400,000.....huchukua mwezi mmoja...
  12. A

    Fashion designing, Tailoring & Salon studies, Tabata Dar West

    True Road College of Fashion Designing, Tailoring & Salon studies MAHALI: Dar West - Tabata MASOMO YANAYOFUNDISHWA: 1. Fashion aina zote-Nguo za kawaida, mitindo aina yote, nguo za send-off, Kitchen Part, Harusi nk 2. Salon- Kupamba Maharusi, Kusuka, Kuweka dawa, weaving, rollers, Kufunga...
  13. A

    Midahalo ya wagombea ubunge ndani ya CHADEMA

    Maana yangu ni kwamba ktk sifa hizo, inafuatana mtu atajieleza vipi, ni kama kazi, kukosa sifa moja haimaanishi hufai- ila unashawshi vipi jopo kwa sifa nyingine ulizo nazo na unajitetea vipi kwa hiyo unayokosa ndio mjadala....Kwangu mimi sifa zote hizo zinafaa.....ila sio kwamba sifa moja kama...
  14. A

    Midahalo ya wagombea ubunge ndani ya CHADEMA

    MIDAHALO YA WAGOMBEA UBUNGE- NDANI YA VYAMA-CHADEMA IONYESHE NJIA. Utangulizi. Nimeshiriki chaguzi nyingi sana maishani mwangu. Na mwaka huu nimeweka wazi dhamira yangu ya kushiriki tena. Katika kushiriki kwangu, nimeona mapungufu ktk vyama husika inapokuja kura za maoni. Kwa mfano mwaka...
  15. A

    Natafuta kontena la kupangishwa

    Kontena Linahitajika: Ndugu yangu ameomba nimuwekee tangazo hapa. Anatafuta Container / kontena la kupanga kwa kipindi cha miaka miwili. Kama unalo au ndugu yako analo naomba nijulishe, kuliko kukaa bure walau apata ya chai kila mwezi.
  16. A

    Juki inatafutwa kama kuna mtu anauza

    Natafuta mashine ya kushonea nguo inaitwa Juki. kama unauza piga 0715 680 773
  17. A

    Utata wa kisheria ktk migogoro ya umiliki

    Habari wana jukwa, Ndugu yangu anataka kuanzisha shule. Lakini hana majengo. Taratibu ni kwamba lazima awe na majengo ya kwake sio kupanga....sasa anabakiwa na yafuatayo; 1. Ama asajili kwa jila la mwenye eneo, na mwenye eneo ndio awe kama mmiliki. Je mkataba wa aina gani unaweza kumlinda yeye...
  18. A

    Natafuta jengo la kupanga kwa ajili ya shule

    Kimsingi iwe shule ya Nursery mpaka Primary, standard seven.Asante kwa kunishauri hivyo
  19. A

    Natafuta jengo la kupanga kwa ajili ya shule

    SHULE YA KUPANGA(KUKODISHWA) INATAFUTWA. Ndugu yangu ameniomba nimuwekee TANGAZO hapa. Anatafuta shule/majengo yanayopangishwa. Kama una taarifa , unajua ama uneona sehemu nitaomba unijulishe... Iwe Dar es Salaam, Pwani(Kibaha) au Mbeya(Mjini, Rungwe, Tunduma), Morogoro, au Dodoma...
Back
Top Bottom