Toyota Altezza inauzwa, mwaka 1999, engine capacity 1925, silver color, leather seats, ipo Dar es Salaam, bei 6.5 million haipungui. Maelezo zaidi piga 0713399109 au 0765448488.
Altezza namba C inatembea, iko vizuri bado. Haina tatizo. Bima kubwa, registration ipo kamili. Maswali na majibu yote utapata kwa simu namba 0713399109. Serious calls for serious buyers only.
CHE GUEVARA-II
kwanini usiende Kwa Mzungu/Kiota? Kama unaenda Stakishari Polisi banana, garden swimming pool nzuri,namba zao sina bahati mbaya, bila shaka hutapotea.
Sijui watu hawajui kuwa ukibipu mara moja inatosha mtu kuona na kukupigia akipata nafasi? Pia nahisi mtu akibipu huwa anaendelea kubipu mfululizo ndio maana simu yake inakuwa bize muda wote baada ya hapo. Kama hujui matumizi ya kubipu basi piga...
Nasikia wafanyakazi wengi wamehamia ile hospitali mpya inaitwa MSASANI PENINSULA HOSPITAL, ipo msasani ile njia inatokea mikocheni Tanesco. Ipo mwanzoni huku upande wa Msasani ile barara ya ndani. Nina ndugu yangu ameanza kazi hapo juzi juzi ameniambia.
Huyo ni Illich Ramirez Sanchez. Kwa jina lingine anaitwa "Carlos" The Jackal, mwanaharakati wa dunia miaka ile na jasusi wa amani. Hatakuja kutokea kama huyu...
Mimi siyo daktari lakini picha ambazo nimeziona hapo juu zinaonyesha glove za hospitali pamoja na pamba/gauze na vipande vya miili. Yawezekana wamekata kata vipande hivyo ili kupunguza ushahidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.