Huenda ni taarifa ya muda mrefu au mwandishi hakupata taarifa sahihi au ameamua kwa makusudi kuupotosha umma. Eneo hili lina usafiri wa mini buses kwenda pande zote (Ruaha Mbuyuni na Mpwapwa pia), isipokuwa gari hizi hazianzii eneo hilo, zinapita kutokea pande zote; si eneo rafiki kwa dharura...
Kwenye swala la kupata mimba ndani muda mfupi kuna mengi yanasemwa, muhimu kwenda kwa wataalam wa afya ya mama na mtoto watakushauri kitaalam na si kimazoea. Kimazoea kila mtu atakuwa na uzoefu wake katika kulishuhurikia swala.
Kuna dada aligundua ana mimba akiwa na mtoto wa miezi sita...
Kodi ndani ya kodi, railway Dev levy n.k. kuna tatizo mahali, na ni la muda mrefu sasa. Wadau wamelalamika kwa muda mrefu lakini hakuna kinachoonekana kurekebishwa; labda kwa sababu tunalalamika na wakati huohuo tunaendelea kuagiza kwa wingi hivyo wachukua hatua wanaona haina sababu ya kubadili...
Soko la magari JP ni soko huria, watu huuza magari yao kupitia hawa ma ajent (kampuni za kuuza magari) na baadhi ya kampuni hununua magari na kuyauza wao. So swala la gari imetembea kilometer ngapi si la kulihusanisha na bei moja kwa moja (100%). Unaweza kupata gari iliotembea km nyingi kwa bei...
Nimeshauri 100 kuwa ni ya kiwango cha juu, ili kuwa na wastan wa walau spidi 60 au 70 kwa safari, sehemu za 50km/h tunazo nyingi sana kwenye barabara zetu. Lakini pia 100 ni spidi ya kawaida sana kwa magari yetu ya kisasa lakini pia sehemu kubwa ya barabara zetu zimeboreshwa.
Kuna haja ya kufanya marekebisho kwenye utaratibu wa ufundishaji wa vitendo kwa madereva wa PSV, mafunzo yawe ya muda mrefu zadi (miezi sita na kuendelea, pia speed ya mafunzo iwe 80 - 100, na wasafiri umbali mrefu zaidi). Pia utaratibu wa speed kwa mabasi ya safari ndefu uangaliwe, yaruhusiwe...
Kupata watoto mapema au la inategemea na tafsiri ya muhusika mwenyewe; kwa dunia ya sasa kupata mtoto mapema au kuchelewa haitarajiwi uje kusaidiwa na mtoto. Wengi wanaochelewa kupata watoto sababu kubwa ni muda, huwa wana majukumu mengi ambayo wanadhani yatawanyima nafasi ya kumuhudumia mtoto...
Nionavyo mimi hiyo ni namna/njia ya kuwapunguza nguvu upande wa pili na hata kuwashinda. Sometimes you need to adopt your opponent ideas kuweza kwenda naye sawa au kumshinda.
Tangia wakati wa kampeni, njia iliyotumika ya kuongea lugha ya upinzani ilikuwa ni mpango maalum kwa watu wa kawaida...
Kwa maoni uangu, chama chetu kimeteleza, na kwa kuwa wakubwa wanaamini hakuna mbadala wametoa sababu kupitia ZEC. Kitakachofanyika sasa ni kuifanyia kazi sababu namba moja kwa ustadi mkubwa.
Mtikila angekuwa hai (mungu amrehemu), angeshakuwa ametinga mahakamani kupinga haya mazingaombwe. Kuyaongea tu kwenye vyombo vya habari kama wafanyavyo baadhi ya viongozi haisaidii. Jamaa watapiga kimya na kuendelea kwa namna wanavoona inawapendeza.
Mmh, labda. kama usahihishaji ni kutype upya then yaweza kuleta mashaka miongoni mwa watu; hata kama ni ya kweli. Muhimu Tume wajitahidi kuwa makini sana tuweze kuvuka wakati huu kwa utulivu tunaoutarajia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.