Search results

  1. M

    abiria wa precision wanusurika kifo kgm

    kuna habari pricion air imeshindwa kuruka baada kupasuka matyre na kuacha run way hakuna alieumia
  2. M

    Ndege ya Air Tanzania yapata ajali ikiwa na abiria 35 Kigoma, hakuna vifo

    Air Tanzania iliokuwa inaondoka leo Kigoma nusura kuanguka wakati ikiruka na imejipiga chini ndani ya bwawa ila hakuna abiria aliyepoteza maisha. ======== Habari zaidi.. Ndege pekee ya Shirika la Ndege la Tanzania "Air Tanzania" imepata ajali wakati ilipokuwa inajiandaa kuanza safari ya kutoka...
  3. M

    kesi ya uchaguzi jimbo la kgm mjini chadema wamkataa jaji

    vyanzo vya taarifa kutoka kgm zinasema chadema wamempa red cad jaji anaesikiliza kesi iyo.hatuwa iyo imefkia ni baada ya jaji anaesikiliza kesi iyo kukataa ushahidi wa video ambao angeutowa ali mley mgombea wa chadema. hapo jana.je ni video gani iyo?hakuna anaejuwa ni video gani. vyanzo...
  4. M

    Mfalme wa oman asili yake Tanzania

    naona kumekuwa mada nyingi dhidi ya warabu ,mwangalie mfalme wao kabila lake ni al. busaid. kwa waliowahi kuishi kigoma ujiji kuna sehem inaitwa busaid na huko ndiko walipo toka mababu zake. Ukienda oman kuna mji unaitwa salalah huko utakuta watu wenye asili ya tanzania i mean black kama...
  5. M

    Mkurugenzi aliemtangaza Serukamba aingia mitini

    Aliyekuwa mkurugenzi wa Kigoma Mjini na ndiye aliyempa ushindi feki mbunge wa Kigoma Mjini hataki kuja kujibu shtaka. Wana JF, atakayemwona amkamate na amrudishe Kigoma kwani yeye ni mshtakiwa wa pili ila mahakama imeanza kuskiliza kesi kutoka Kigoma.
  6. M

    Sumatra vs dmi

    JAMANI LEO TULIANGALIE ILI SWALA LA SUMATRA WAO KUTOA VYETI VYA UBAHARIA AU KWA KIFUPI MARITIME YOTE KWA UJUMLA WANAOFUNDISHA NI DMI CHETI,MTIHANI DMI VP VYETI WATOE WAO? MBONA DL HAWATOI WAO? Nyingine kali kila bada ya mika4 unakwenda kurenew vyeti vyako tena kwa wiki 4 mi naona jukum lote...
  7. M

    Huyu migration officer anasumbua wageni

    jamani naomba mnisaidie kuna imigration officer mmoja hapa mkoani kigoma kila akimwona mtu mweupe hasa wazungu na wahindi kavaa overroll tu basi kosa atauliza pass na work permit bila kujali huyoanaemuuliza ni mwenyeji au
Back
Top Bottom