Search results

  1. C

    Jamani waandishii tanga mnanii

    Sisi wakazi wa kijijii cha kichangani kata ya maweni mkoa wa tanga jumamosi iliyopita ya tarehe 3/3 tulifanya maamuzi magumu ya kumuondoa mwenyekiti wa kijiji kwakuvunnja kanuni za uongozi mbele ya wanakijiji wote na waandishi wa habari baadhi yao walikuwepo lakini kwa masikitiko makubwa...
  2. C

    Ombi kwa vyombo vyote vya habari tanga

    Sisi wakazi wa kijiji cha kichangani kata ya maweni wilaya Tanga mkoa Wa Tanga jumamosi hii tarehe 3/3/2012 saa 9 alasiri kutakua na mkutano wa wanakijiji wote na tunatarajia kufanya maamuzi mazito kuhusu mwenyekiti wetu aliye poteza sifa ya uongozi kwa kushindwa kuitisha mikutano toka mwaka...
  3. C

    Kunani Tanga

    Wakubwa wa tamisemi njoni tanga muone mwenyekiti miaka 2 bila mkutano kichangani tunarudi nyuma tusaidieni wakubwa wasikie
  4. C

    Tanga mwenyekiti wa kijiji kapoteza sifa

    Ssi wakazi wa kijiji cha kichangani kata ya maweni wilaya ya Tanga mwenyekiti wa kijiji amepoteza sifa za uongozi kwa kushindwa kuitisha ya kawaida toka aingie madarakani mwaka 2009 Tunaomba wanaohusika watusaidie kuondoa kero hii kwani Afisa mtendaji wa kijiji na Mkurugenzi wa Halmashauri wako...
  5. C

    Mh Mkuchika

    Ssii wakazi kijiji cha kichangani kata maweni wilaya Tanga mwenyekiti amepoteza sifa kwa kushindwa kiitisha mikutano kwa miaka 2 bila kuwa na sababu za msingi tusaidieni ilitupate maendeleo
Back
Top Bottom