Jamani waandishii tanga mnanii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani waandishii tanga mnanii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by colyvas, Mar 7, 2012.

 1. c

  colyvas Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sisi wakazi wa kijijii cha kichangani kata ya maweni mkoa wa tanga jumamosi iliyopita ya tarehe 3/3 tulifanya maamuzi magumu ya kumuondoa mwenyekiti wa kijiji kwakuvunnja kanuni za uongozi mbele ya wanakijiji wote na waandishi wa habari baadhi yao walikuwepo lakini kwa masikitiko makubwa hiyohabari mpaka leo haija toka kunani tangaaaaaaaaaaaaaaaa tuabarisheni jamani tunawatengea msituhangushe
   
Loading...