Mh Mkuchika

colyvas

Member
Feb 23, 2012
11
0
Ssii wakazi kijiji cha kichangani kata maweni wilaya Tanga mwenyekiti amepoteza sifa kwa kushindwa kiitisha mikutano kwa miaka 2 bila kuwa na sababu za msingi tusaidieni ilitupate maendeleo
 
Mkijikusanya kwa pamoja na kusema mnahamia CHADEMA kwa sababu m/kiti amepoteza sifa, viongozi wa serikali ya CCM watakuja haraka sana.
 
Tatizo sio chama ni mtu mmoja mbabe hata chadema wapo jibu hapa ni mamlaka za nidhamu kuingilia kati na kiitisha uchaguzi wa kujaza nafasi kama kanuni inavyosema
 
Kwani hakuna maaskofu hapo? kama wapo waambieni waitishe harambee na wamuite EL aje achangishe mpate maendeleo.
 
Back
Top Bottom