sioni umuhimu Wa kijadili mahakama ya kadhi kwa nchi yetu kwa sababu nchi yetu haina dini. kwa hiyo iwapo tukiruhusu kuwa na mahakama ya namna hiyo inamaana nchi yetu itakuwa imeaanza kuingiza mambo ya dini katika muhimili wake. waislam kama wanaitaka hiyo wawe wanamalizana humo miskitini kwao...
Jogoo 10 hao wako wameshindwa kutetea na kupanda Kwa sababu unawalisha broiler mash ambayo inawafanya wananenepa sana. Hata binadamu akinenepa sana kwenye suala la uzazi kunakuwa na shida. Pia kuhusu ukubwa wa wazazi wao Ni kutokana na uchaguzi mzuri Kwa ajili ya mbegu. Hii ipo wazi tu hata...
Gama Mimi ninachoandika nimehakiki Kwa kufuga mwenyewe si Kwa kusoma au kusimuliwa. Wanataga vizuri sana tu na hata majogoo yake huwa yanakuwa makubwa sana. Fanya utafiti kaka
Rapherl wale huwa wanatengwa baadhi Kwa ajili ya kupata vifaranga. Kumbuka huwezi pata vifaranga bila mayai kurutubishwa. Kuhusu kuanguliwa na mashine si tatizo Kwa sababu Haya mayai ya kuku Wa kienyeji waweza angulisha Kwa mashine pia.
Ni mayai ya kawaida tu ya aina hiyo hiyo ya kuku . huwa wanatengwa Kwa ajili kupata vifaranga. pia hao Wa nyama unaweza wacross na kuku Wa kienyeji na wakaadopt kabisa. nimeshawahi kujaribu kuwafuga kienyeji.
Mkagati kwa udereva Ni lazima uwe na leseni yaani kiufupi Ni kwamba hawafundishi beginners . Kuhusu evening Kwa degree na diploma hiyo programme imeanza tangu mwaka jana. So Kwa mantiki hiyo inategemea na demand yenu kama mpo Wa kutosha mnaohitaji evening session watawatekelezea.
adinag huo utaratibu haupo ulishafutwa kitambo. Kwa sasa wanaoweza kutumia utaratibu huo Ni wale Wa diploma na certificate tu. pia kuhusu ada Kwa degree Ni million 1.5 na dip Ni million 1. Kwa wale wanaolizia hostel za chuo ukifika utaulizia Kwa dean of students then watakupa form za kuomba then...
Freemason hausiani na uchawi jamani ila ni uchunguzi Wa mambo makuu ya Mungu Kwa kupitia mazingira tuliyonayo. Na hawa watu ndiyo wanaotoa misaada kijamii Kwa wingi duniani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.