Search results

  1. Nelsweeter

    House for sale!

    It depend with a location and the size, up to 50M vipo tu jirani na hapa
  2. Nelsweeter

    House for sale!

    Nyumba inauzwa eneo la Ukuni Bagamoyo; kiwanja kina hati na kina ukubwa wa sqm 1009. The house is located in a prime area near Ukuni Real Estate Bagamoyo. Kiwanja kipo umbali wa M200 kutoka Barabara ya Dar Bagamoyo. Price M110. For any serious buyer call 0713-946810. Middle men are not needed
  3. Nelsweeter

    Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

    Kweli CHADEMA mmemchoka Zitto, yaani mmefikia hatua ya kumfanaisha huyo Heche na Zitto Kabwe?. Upeo wa Heche ni mdogo sana, nahisi na elimu yake ni ndogo sana kwa jinsi nilivyomuona last week kwenye kipindi kimoja ITV. Kuna tofauti ya mtu wa kuweza kuongoza na kuaminiwa na watu wenye busara zao...
  4. Nelsweeter

    Mtoto wa Wassira ajiunga Chadema

    Sura kama baba yake
  5. Nelsweeter

    Kipengele cha 'DINI' ktk vitambulisho vya taifa

    Kwenye vitambulisho vya taifa hakuna cha Uamusho wa genge la Ponda wanavikataa. Kama mnajifanya mnasimamo gomeni na kupewa vitambusho vya Nida. Na wale wote Wazanzibar wanaotaka kupumua ni muda muafaka sasa wa kugomea vitambulisho vya Tanzania kama mnaubavu. Mkigoma zoezi la vitambulisho...
  6. Nelsweeter

    Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

    Watanganyika, Wa Congo, Warundi, Wanyarwanda, Waganda, Wamalawi, Wakenya, Wangazija na n.k. Wameishi Zanzibar kabla na baada ya biashara ya utumwa. Kwa nini issue ni kwa watanganyika tu?. Zanzibar mtabaki kwenye muungano mpende au msipende. Hata US haikuungana kwa hiari, Southern States...
  7. Nelsweeter

    Zanzibar: Risasi zarindima!

    Watch this video uploaded in You Tube in 2007, recorded from ABC News showing child abduction by Uamsho group in Zanzibar.
  8. Nelsweeter

    Zanzibar: Risasi zarindima!

    Angalia dakika ya kumi na moja kwenye video
  9. Nelsweeter

    Zanzibar: Risasi zarindima!

    Huyu ndio Kiongozi wa Uamsho Zanzibar, Kiongozi anayewalisha Sumu Waafrika wachache na kumeza kila wanachoambiwa kama dodoki. Mtu huyu mpaka leo haamini kama Zanzibar iko Africa, haya ndio masalia yaliyobaki baada ya Mapinduizi ya January 12 1964 ambayo yanahitaji kutokomezwa kabla hayajakomaa...
  10. Nelsweeter

    Zanzibar: Risasi zarindima!

    Naona unaleta ubishi tu, soma title ya video na hiyo ni kwa mujibu wa mtu aliyeupload hiyo video, title inasomeka "wanzanzibar wakionyesha hisia zao", na huko ndani ukisikiliza kumejaa matusi kwa watanganyika. Kwa maana hiyo hao matusi ni hisia za wazanzibar kwa watanganyika. Hilo swala na maoni...
  11. Nelsweeter

    Zanzibar: Risasi zarindima!

    Angalia hii hapa
  12. Nelsweeter

    Zanzibar: Risasi zarindima!

    Hii ni JF ndugu na hapa watu wanatumia ID fake, usije kugeuziwa kibao wakati wa faragha. It seems like your ass hole is horny
  13. Nelsweeter

    Zanzibar: Risasi zarindima!

    Angalia video zilizoko You Tube zinazoonyesha mihadhara ya hao wanajiita uamsho. Hayo matusi ni ya hao wanajiita wazanzibar halisi wakiwatukana watanganyika. Hakika kwa matusi hayo hiyo Zanzibar huru mtaisikia hewani tu. Mnajua wazi kuwa huu muungano ulileletwa na mataifa ya magharibi ila kwa...
  14. Nelsweeter

    Zanzibar: Risasi zarindima!

    Police wamewalea vya kutosha au mashehe, muda mrefu wamekuwa wakihubiri upuuzi, police wamekaa kimya tu. Mahubiri yao yote ni kutukana watanganyika, eti "Tanganyika bomba la mavi". Kwa muda wote huo wamekuwa wanachezea sharubu za Simba, sasa kinachowafaa ni kichapo tu ili waende kuwasimulia wake...
  15. Nelsweeter

    Malawi to overturn homosexual ban

    Anatuangusha wanawake huyu bibi
  16. Nelsweeter

    Mbunge wa Mufindi Kusini (CCM) apata ajali

    Alisign karatasi ya Zitto huyo?. Kama alisign kama Feelkunjombe I wish him get well soon, kama hakusign basi e mwenyezi mungu mtendee haki huyo mja wako apate anachostahili utakavyopenda wewe.
  17. Nelsweeter

    TB Joshu atabiri tena

    Ameshakuwa Octopus Paul, wajerumani watamfanya kitoweo kama walivyomfanya pweza, asubiri kama hajui
  18. Nelsweeter

    Tanzania na Uganda ndio nchi pekee zilizopigana vita Africa

    Uganda vs Rwanda + Ethiopia vs Eritrea
  19. Nelsweeter

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    Mimi natumia cha dada yangu na hamnifanyi kitu, toka lini uliona cheti kinafanya kazi?. Mimi ndio nafanya kazi, njoo kazini kwangu uone jinsi ninavyojituma kujenga nchi. Kwani lazima kila mtu asome kwenye familia, nyie vipi???!!!!
Back
Top Bottom