Search results

  1. AKON

    Huyu mwanamke ataniua jamani

    Kama namjua huyo dem
  2. AKON

    Msaada manunuzi ya iPhone 6 Plus

    5s mil 1.1 mpaka 1.3 ... 4s ngoja ntakuchekia mda mda
  3. AKON

    Msaada manunuzi ya iPhone 6 Plus

    Mil 1.1 mpaka 1.3 .. New boxed ..
  4. AKON

    Msaada manunuzi ya iPhone 6 Plus

    Average prices .. 6 plus 16 gb mil 2.2 32 gb. Mil 2.5 64 gb mil 2.7
  5. AKON

    Msaada manunuzi ya iPhone 6 Plus

    Nishtue kesho kabla ya saa nne nikupe price kwa maduka yote makubwa kama upo dar ...
  6. AKON

    Msaada manunuzi ya iPhone 6 Plus

    Unaanzaje ku copy iPhone ? Hakuna kitu kama hicho .. Wanaojaribu wanaishia kwenye housing tu na si zaidi ya hapo .. IPhone original is easy to know , washa unganisha na apple id au fungua na apple id .. Au muombe muuzaji akuunganishie simu yako na iTunes software kwenye computer ... IPhone copy...
  7. AKON

    Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    Ukitaka kujua mtu mwenye akili nzuri , awe mtazama mpira .. Muulize Ronaldo vs messi nani mkali ... Akikupa jibu utajua akili yake ...
  8. AKON

    Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    Acheni kumlinganisha messi flea messiah na ujinga ujinga
  9. AKON

    Hivi mtu aliyefanikiwa kimaisha ni lazima awe na vifuatavyo?

    Ukishapata kile unacho wish au ulitaka kupata hapo kabla basi umefanikiwa
  10. AKON

    IOS 9 beta

    MORE REFERENCE How to install iOS 9 beta on your iPhone or iPad right now, with or without a dev account quick view of this killer os check hii video hapa , true multitasking imeoneshwa pia kwa ipad na iphones. https://www.youtube.com/watch?v=AjQm4WAdi5U
  11. AKON

    IOS 9 beta

    ingia hapa (iOS 9 Beta Download + Public Testing | Evad3rs )download hiyo zipped file i save kwenye pc yako "ku downoad hapa unahitaji kutumia torrents sababu file hili limetolewa na developers" hili file ni almost 64 gb kwa maana lina version zote a simu kuanzia 4s mpaka 6plus, unachotakiwa...
  12. AKON

    IOS 9 beta

    Saa mbili mbili hivi usiku rudi Mchek ntakuwa nimeweka maelezo yote
  13. AKON

    IOS 9 beta

    Kwa wapenzi wa iOS , iOS 9 beta iko out ,nimeweka kwenye phone yangu iko cool sana . Hii imetoka Kwa ajiri ya developers but mtu wa kawaida unaweza kuiweka Pia kupitia iTunes . Ni upgrade nzuri sana ikiwa na features kibao ikiwamo kupungua Kwa size, power savings , speed na appearance siri...
  14. AKON

    Mzigo mpya Wa iPhone 6 na iPhone 6+

    Haaa haaa basically zile simu siyo iPhone kabisa , hazina element hata noja ya iPhone Ila housing ni ya iPhone na home button Kama iPhone ...
  15. AKON

    Nimeumizwa, nimeamua kutokua na mpenzi mmoja

    Maisha ni kuchagua
  16. AKON

    Mzigo mpya Wa iPhone 6 na iPhone 6+

    Nimeshaziona hizo cm , zinatumia android na ukiingia settings zinataka google account .. Mleta tangazo yuko sahihi !!
  17. AKON

    Bahati bukuku na utajiri wa kutisha

    Unataka nikupe contact ? Ila lazima ujue kuimba
  18. AKON

    Bahati bukuku na utajiri wa kutisha

    Mungu ni tajiri sana "keep in mind "
  19. AKON

    Looking for y300

    got it from you,, thanks in advance
  20. AKON

    Looking for y300

    Kama unayo na unauza au yoyote yenye uwezo Kama huo nipe pm Nb awe Dar
Back
Top Bottom