Search results

  1. R

    Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

    Mwakani anatarajia kufanya tour yake ya kwanza baada ya ukimya wa mda mrefu
  2. R

    Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

    Run this town Man down What’s my name (her all time best) Rude boy Diamonds
  3. R

    Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

    Lady gaga ni entertainer tu. Mtumbuizaji
  4. R

    Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

    [emoji23][emoji23] lady gaga
  5. R

    Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

    Rihanna hata aseme leo atoe nyimbo basi itabamba kwenye kila platform ya mziki unayoijua wewe.
  6. R

    Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

    https://www.telltalesonline.com/43429/best-selling-female-artists/ List hiyo hapo ya best selling female artist of all times. Inaongozwa na Maddona inafuatiwa na riri then Mariah carey. Hakuna cha queen bee. Taylor swift Whitney Houston (RIP) Ariana Celine dion wala cha nani nani. Let us take...
  7. R

    Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

    Bado sijaona wala kusikia Artist wa kike kumzidi Rihanna hakuna cha beyonce nicki minaj wala taylor swift. Wote hakuna anayeleta taste kama rihanna. Wakumzidi riri bado hajatokea.
  8. R

    Kwanini nchi za kiarabu haziendelei licha ya kuwa na rasilimali nyingi kama mafuta na gesi?

    Naona nimevamiwa na wafia dini? [emoji23] kinachowafanya waarabu waonekane matajiri ni matumizi yao na Maisha ya anasa Yanayofanywa na Arab elites. Kupanda maprivate jet [emoji3575] kufanya ma birthday ya kifahari. Kuinvest kwenye ma team ulaya etc. lakini kaeni mkijua lile ni tabaka la wachache...
  9. R

    Kwanini nchi za kiarabu haziendelei licha ya kuwa na rasilimali nyingi kama mafuta na gesi?

    Siongelei kulinganisha na Afrika na ongelea kuwalinganisha na wazingu pamoja na washina ambao licha ya kuwa na rasilimali chache wanamaendeleo mno tofauti na waarabu
  10. R

    Kwanini nchi za kiarabu haziendelei licha ya kuwa na rasilimali nyingi kama mafuta na gesi?

    Kwanini nchi za kiarabu haziendelei licha ya kuwa na rasilimali nyingi kama mafuta na gesi?
  11. R

    Kwanini Lavalava hana kiki kama wasanii wengine wa Wasafi

    Duh kumbe. Na wala haikufanyiwa uzinduzi mwaya.
  12. R

    Kwanini Lavalava hana kiki kama wasanii wengine wa Wasafi

    Ipi hiyo? Ilikuwa na nyimbo gani
  13. R

    Kwanini Lavalava hana kiki kama wasanii wengine wa Wasafi

    Tumeona the way harmo,rayvanny,zuchu mbosso wakipewa support na attention wanayoitaka. Wamepewa interviews za kutosha.wameandaa ma ep na kutoa album kadhaa huko wakifanya collabo na wasanii wakubwa wa kinigeria na wapiwapi huko. Lakini hali ni tofauti kwa lavalava. Akitoa nyimbo hakuna msanii...
  14. R

    Wataalamu wa mambo yasioonekana mnieleweshe hili

    Behave kama huna majibu ni bora ukakaa kimya
  15. R

    Wataalamu wa mambo yasioonekana mnieleweshe hili

    If u can mind your business that will be better.
  16. R

    Wataalamu wa mambo yasioonekana mnieleweshe hili

    Popote mnapokuwa kundi huyo mmoja ndo anakuwa wa kwanza kumuuona huyo nyoka kisha anawaambia wengine
Back
Top Bottom