Search results

  1. Uwa zuri

    Kufuatia urafiki uliotukuka wa Nyerere na Yasser Arafat. Je, Tanzania hatuwezi kuwahifadhi Wapalestina wanaofurushwa Gaza?

    Kwan umeambiwa natetea wayahudi?siko upande wowote kwamaana Sina undugu nao hata wa rangi
  2. Uwa zuri

    Kufuatia urafiki uliotukuka wa Nyerere na Yasser Arafat. Je, Tanzania hatuwezi kuwahifadhi Wapalestina wanaofurushwa Gaza?

    Afu ww upunguzage kiherehere,ww walishawah kukusaidia nn?.Una uchungu nao nenda kwao kawasaidie lioooneee Kwanza.
  3. Uwa zuri

    Nimekuta naye Januari, baada ya miezi penzi chali

    Itakuwa labda yey alikuwa anataka mtu serious (mume)ila kaona husomek kaona asipoteze mda na gangster 🀭🀭
  4. Uwa zuri

    Haithamkim amefanyaje?

    kama Vp Kama nataka yangu labda na mtoto mmoja?
  5. Uwa zuri

    Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

    Ivi ana mke huyu mpuuzi?hata hao wanao lala naye wanamoyo ni Kama anawaongelea wao
  6. Uwa zuri

    Haithamkim amefanyaje?

    Mtei Ni mme wake anachora sanaaa wasanii ma tattoo
  7. Uwa zuri

    Mke anahitajika

    πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tuko mwaka 2023 afu karne nyingine,nani atakubal kushika jembe wakat matrekta yapo.Afu unataka mke au mkulima?
  8. Uwa zuri

    Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

    Hawa wa huku kwetu ukimkuta mrefu basi mwembambaaa,tofaut na hao wanao miili ya kiuanaume halisia😊😊🀭🀭🀭,nadhan wao wakakula sanaaa vyakula vya asili kuliko huku
  9. Uwa zuri

    Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

    Kwakwel uvumiliv wa kukaa na namba ya mtu niliegombana naye sinaaaa,huwa nafuta hapo hapo na habar inaishia hapo..
  10. Uwa zuri

    Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

    Umeona eenh watu wanavyo lala pazur πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
  11. Uwa zuri

    Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

    πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ivi mwenyewe akiona comment ka hii inamuhusu atacheka,ata shangaa au atasikitika πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ maana mm vyote vimenijia kwa wakat mmoja.
  12. Uwa zuri

    Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

    Nyieeee πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£nimeamin kunawatu tunasindikiza wenzetu waishi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
  13. Uwa zuri

    Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

    Eeehhh afadhal na we unapajua,afu wengi watu hata Awana ulemavu wamejifunika vitambaa na Madera yao hadi aibu
  14. Uwa zuri

    Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

    Alio kwambia nimetaman nani?,wapi nimeandika nmetaman.Kiuhalisia nilishangaa maana nlijua hotel na watu maskin huwa wanaenda kuomba hela pale hasa wakati wa ramadhan ukitaka kuamin nenda mwenyewe utaona.mimi nilipitishwa na rafiki yangu anae kaa mita hiohio yaan watu wanaishi jaman achen tu
  15. Uwa zuri

    Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

    Kuna nyingine anayo masakijman watu wanaishi,kituo kinaitwa bakresa hapo masaki ana nyumba nilijua hotel bhana
  16. Uwa zuri

    Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

    Akuroge tu,mme zidi.Kwan ungekuwa umetulia na huyo unayesma pic kali yangekufika hayo yote?.AKUROGE TU.
  17. Uwa zuri

    Natafuta mke wa ndoa

    Huna bahati
Back
Top Bottom