Search results

  1. Skillseeker

    Maduka ya camera dar yako sehemu gani?

    Habari wanaJF, Natafuta camera yenye at least 30x optical zoom na 20mp. Iwe na rechargable battery. Ni maduka gani kwa dar es salaam ambayo yanabei nzuri na camera nyingi ili iwe rahisi kuchagua?
  2. Skillseeker

    Bei ya iphone 4 & 5

    Habari za leo wanaJF, Ningependa kujua bei ya iphone 4, 4s na 5 kwa tanzania. Nahitaji kujua bei zake zikiwa mpya na used in a good condition. asanteni
  3. Skillseeker

    what are the cheapest but good universities for networking and information security?

    Habari za kwenu, Naombeni kujua ni vyuo gani vizuri marekani (sio lazima viwe on top) katika kufundisha mambo ya networking and information security kwa level ya masters. Pia viwe kati ya vyuo vyenye bei nafuu sana ndani ya marekani katika hizo course. Ningependa kujua pia kama wanatoa...
  4. Skillseeker

    Help;how to uninstall password protected program?..

    habari za kwenu wanaJF, Naombeni mnisaidie kujua ni jinsi gani nitaweza ku-uninstall program yangu kwenye windows7 ambayo iko password protected. Program niliyonayo ninayotaka kuitoa inaitwa "USB Block" niliinstall zamani kidogo ili kuitest nikaiwekea na password..sasa kwakuwa siitumii nataka...
  5. Skillseeker

    nahitaji kujua bei ya iphone 4 (brand new and used) kwa hapa dar..

    habari zenu wakuu, naombeni mnijuze bei ya iphone 4 used na brand new kwa hapa dar.. pia naomba mnieleze wapi naweza kuzipata kwa bei nafuu (used and brand new).. natanguliza shukrani
  6. Skillseeker

    what are the cheapest but good universities for networking and information security?

    Habari za kwenu, Naombeni kujua ni vyuo gani vizuri marekani (sio lazima viwe on top) katika kufundisha mambo ya networking and information security kwa level ya masters. Pia viwe kati ya vyuo vyenye bei nafuu sana ndani ya marekani katika hizo course. Ningependa kujua pia kama wanatoa...
  7. Skillseeker

    msaada, screen ya laptop yangu imeanza kuwa nyeusi kwa mbaali upande wa kulia

    Habari za kwenu wanaJF, Naomba mnisaidia kutatua hili tatizo. Nina laptop ya dell xps 15z. Toka niinunue inafanya kazi vizuri sana.. nimeshakaa nayo zaidi ya mwaka sasa. Mwezi uliopita niliweka operating system mpya kutoka windows 7 home edition (original cd) kuja kwenye windows 7 ultimate...
  8. Skillseeker

    msaada,jinsi ya kurestore firmware ya iphone4s from ios6.1.3 to ios6.1.2 and unlock it

    habari za kwenu wanaJF, kwa wale wenye utaalamu na simu za iphone naombeni mnisaide kujua jinsi ya kurestore firmware ya iphone 4s 6.1.3 kwenda kwenye ios6.1.2. pia naomba mnisaidie kujua jinsi gani ninaweza nikaiunlock hii simu. Ina baseband 3.4.03 .. kama hii baseband ni unlockable basi...
  9. Skillseeker

    "kaspersky key not valid for this region"..msaada jinsi ya kusolve hili tatizo

    habari za leo, nina tatizo. nimeformat laptop yangu iliyokuwa ina antivirus ya kaspersky niliyokuwa naitumia nikiwa nje ya nchi.. sasa nimeirudisha hiyo antivirus baada ya kuformat nikajaribu kuiactivate kwa keys nilizopewa wakati nimeinunua nikapata ujumb unasema "kaspersky key not valid for...
  10. Skillseeker

    help, how to recover media files from sd card/camera...

    Habari za kwenu wanaJF, Naomba mniambie ni software gani zinazofanya kazi 100% katika kurecover files... Kuna mtu nilimuachia camera yangu atumie akaiformat (delete all the files) ili apate nafasi ya kufanya project zake..sasa nimekuja kushtuka kuwa sikucopy files zilizokuwa ndani.. msaada...
  11. Skillseeker

    help, how to limit the bandwidth of another computer in a wireless network

    Habari za leo wanaJF, Ningependa kupewa somo ni jinsi gani ninaweza kuzuia au kulimit bandwidth ya computer moja au zaidi ya moja zilizoko kwenye wireless network ili niweze kubana matumizi.. naomba mnitajie software zitakazoweza kufanya hii kitu. Na ningependa kujua jinsi gani naweza kufanya...
  12. Skillseeker

    Help, how to bypass login password for administrator in linux

    Habari wanaJF, naombeni kujua ni jinsi gani naweza kubypass login screen na kuaccess system as an administrator in linux based system kama fedora.. password ya administrator imesahaulika..
  13. Skillseeker

    msaada, how to write a php code to enable users to watch a video on the website..

    Habari wanaJF, Naomba mnisaidia na kunielimisha ni jinsi gani naweza kucreate webpage itakayomruhusu mtumiaji aweze kuangalia video online pamoja na kudownload hizo video na baadhi ya files nyingine zitakazokuwa uploaded kwa kutumia php...
  14. Skillseeker

    msaada, unlocking iphone

    Habari za kwenu wanaJF, Nimekuwa nikitumia iphone 3gs kwa muda kidogo. Ilikuwa locked wakati nimeipata but nikaupdate to ios 5.1.1 na kuiunlock. sasa hivi karibuni cydia ilicrash.kila nikitaka kufungua ilikuwa haifunguki ndipo hapo nikaamua kurestore my device. nilipo restore tu device na...
  15. Skillseeker

    msaada in web design using php..how to categorize files ...

    habari za leo wanajf, naombeni mnielekeze jinsi gani ya kucategorize files. ninachohitaji ni mtu akiingia kwenye webpage yenye files mfano anataka aone videos basi aweze kuchagua ni video za aina gani kama ni nyimbo basi kuwe pia kuna list ya kuchagua kama ni za hiphop, gospel n.k. pia akiingia...
  16. Skillseeker

    help, how to upload multiple files in php

    Habari za leo, naombeni mnisaide kujua ni jinsi gani naweza kuupload multiple files (yani nikimaanisha wakati nabrowse file ili niupload niwe nauwezo wa kuselect more than one file) with different extensions in php. alafu baada ya kuupload automatically hayo mafile yaweze kuangaliwa type na...
  17. Skillseeker

    msaada: masters ya maswala ya computer(in developed countries) kwa mtu aliyesoma degree ya miaka 3

    Habari zenu wanaJF, Ninatafuta vyuo katika nchi zilizoendelea kama UK,USA,Canada,New Zealand na zinginezo ili niweze kupata nafasi ya kusoma masters katika mambo yahusuyo IT. Nimejaribu kufanya utafiti lakini katika hatua yangu ya awali ya utafiti wangu katika tovuti mbalimbali nimeona kuwa vyuo...
  18. Skillseeker

    msaada: majina na vyuo katika nchi zilizoendelea vinavyokubalia mtu aliyefanya degree kwa miaka 3

    Habari zenu wanaJF, Ninatafuta vyuo katika nchi zilizoendelea kama UK,USA,Canada,New Zealand na zinginezo ili niweze kupata nafasi ya kusoma masters katika mambo yahusuyo IT. Nimejaribu kufanya utafiti lakini katika hatua yangu ya awali ya utafiti wangu katika tovuti mbalimbali nimeona kuwa vyuo...
  19. Skillseeker

    msaada; software inayohusika na kuedit vocal katika wimbo....

    Habari za leo wanaJF, Napenda kujua ni software zipi zinazotumika katika kucheza na vocal za wimbo. Ninaposema kucheza na vocal za wimbo namaanisha kuweka effects katika wimbo mfano auto tune ya t-pain, kuweza kuseparate vocals na instrumental katika wimbo na kuzisave kama mafile tofauti...n.k...
  20. Skillseeker

    Msaada kuhusu CCNA

    Habari za kwenu wanaJF, Nimekuwa nikiwaza kuhusu swala la kusoma CCNA kwakuwa ningependa niwe nakaujuzi kwenye mambo ya networking. Sasa mwanzoni nilijua CCNA ni course moja ambayo unaisoma kwa muda flani na ukimaliza unafanya ile mitihani yao online.Sikujua kama CCNA nayo imegawanyika pia...
Back
Top Bottom