Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
Habari za leo wanaJF,
Napenda kujua ni software zipi zinazotumika katika kucheza na vocal za wimbo.
Ninaposema kucheza na vocal za wimbo namaanisha kuweka effects katika wimbo mfano auto tune ya t-pain, kuweza kuseparate vocals na instrumental katika wimbo na kuzisave kama mafile tofauti...n.k
Mfano mzuri ni katika mixtracks mbalimbali tunazosikia. utakuta watu wanafanya remix zao..wanachukua verse katika wimbo wa msanii kama jay-z alafu wanaweka hizo vocal zake katika beat ya wimbo wa msanii mwingine..yani kama hujui verse unaweza ukasema nyimbo ni mpya..
ningeomba mnitajie software zinazoweza kufanya hivi vitu na jinsi ya kuzipata..kama zinaweza kupatikana for free pia nitashukuru ukiniambia jinsi ya kuzipata ili niweze kujifunza kidogo...
natumai nimeeleweka katika mahitaji yangu.