Kwa hapo najuwa kuna watu wenye mioyo migumu. Maana kuna mpanzi na mbegu zenyewe.
" Watakuwa na masikio lakini hawataelewa na watakuwa na macho lakini hawataona."
Kwa maana wameifanya mioyo yao kuwa migumu
Imeandikwa siku za mwisho manabii wa uongo watakuwepo pamoja na makristo wajifanyao kuwa ni Yesu. Mfano kuna huyo mtu yuko Kenya anasema yeye ni Yesu.
Yesu kabla hajafa alisema "mtawajuwa kwa matendo yao"
Umenikumbusha kuna mtoto mmoja wa kiume wa jirani yangu alikuwa anamajina mengi tangu nilipofahamu akiwa na miaka mitatu minne hivi. Alikuwa ana majina zaidi ya matatu anayoitwa hapo kwao
Najuwa mpk sasa application zimefungwa kama akichaguliwa mwambie anitafute chuoni kwa jina la husna chikwela mie ni mmoja wapo nnaesomea moja kati ya kozi hizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.