Search results

  1. Dennismakoi

    Msaada wa kununua gari

    Funcargo toyota
  2. Dennismakoi

    Lema UVCCM Arusha yamnyima kwenda Bungeni

    Lema amezidi kelele tu hana jipya
  3. Dennismakoi

    Kauli ya upendeleo ya rais Kikwete clouds fm

    Kizuri lazima kisifiwe! Na ni kweli clouds inapendwa na vijana sana.
  4. Dennismakoi

    MSAADA. Usafiri wa Mabasi wa uhakika DAR ES SALAAM to NAIROBI

    Dar express linaondoka saa 12 na kufika nairobi saa 2 usiku
  5. Dennismakoi

    Nokia N8 16gb

    Weka namba yako sasa tukupigie
  6. Dennismakoi

    Kuna wana maombi humu?

    Pole sana! Hiyo hali ni ngumu sana na inaweza kukufanya ukachukuwa maamuzi mgumu ila kama unamwamini Mungu lazima uwe mvumilivu na kukazana kuomba, unapotaka kitu ambacho ujawahi pata lazima ufanye kitu ambacho ujawahi fanya.
  7. Dennismakoi

    Zitto Kabwe: Nitataja majina ya vigogo walioficha fedha nje kwenye kikao kijacho

    Huyu zito hana jipya kila siku nitawataja lakini hakuna jipya
  8. Dennismakoi

    gari inauzwa

    Imetembwa km 80000 tu kaka. Na ipo kwenye good condition kabisa.
  9. Dennismakoi

    gari inauzwa

    gari inauzwa location ; ARUSHA imetembea km 80000 tu ipo kwenye hali nzuri kwa maelezo zaidi piga 0712860006
  10. Dennismakoi

    Kijana jela maisha kwa kubaka mtoto

    Dah vijana wengine ni kero kwenye jamii!
  11. Dennismakoi

    Ommy Dimpoz atoa bonge la wimbo

    How can I get that song Radhia! I think I like him
  12. Dennismakoi

    Ommy Dimpoz atoa bonge la wimbo

    So what radhia
  13. Dennismakoi

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Watu wana tabia ya kuwaharibia tu wengine sifa! Nani yupo sure kama kweli hiyo barua imetoka china! Tuache ujinga watanzania na tufanye kazi za maendeleo kuliko kukaa na kufwatilia maisha ya watu.
  14. Dennismakoi

    Kutokana na mlipuko wa bomu katika mkutano wa CHADEMA, uchaguzi waarishwa jijini Arusha.

    Tume emetumia akili sana, maana usingukuwa poa kufanya uchaguzi wakati wengine wanakufaa huku.
  15. Dennismakoi

    Show ya MwanaFA ilihujumiwa kwa makusudi.

    Huu ni ujinga wa clouds na mwanafa coz hukutaka kusikiliza, yeye anajua hana jipya then anaandaa show siku moja na mtu mwenye akili, hii ni fundisho kwa wasanii wote hapa nchini.
  16. Dennismakoi

    Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    Hizi habari zina ukweli upi! Mbona mnapenda kutudanganya na kuwafanya wananchi wachukie serikali! Acha ya ajabu! Sent from my BlackBerry 9900
  17. Dennismakoi

    Shangazi yangu ananibaka kila mara, nifanye?

    Kamripoti kwenye vyombo vya sheria Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  18. Dennismakoi

    Jinsi ya kujua simu uliyo nayo ni mchina:

    Uwiiii natuma mchina wangu! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  19. Dennismakoi

    Yaliyojiri nilipo pigwa mkono na Traffic Police wiki jana

    Hapo ulimweza jamaa haha Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  20. Dennismakoi

    Uchaguzi Mkuu Kenya: Ghasia zaanza Kisumu

    Yaani waafrica ni wagumu kukubali matokeo! Odinga utashindwa tu! Tafuta cha kufanya Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Back
Top Bottom