Search results

  1. K

    madilu system ndani ya ikulu ya Gabon

    lol.. nchi za marais madikteta zina raha sana kwa rais na wateule wake,sio huku kwetu
  2. K

    Ijue Familia ya Kabila Katika Picha!

    Joseph hata kama kweli hakua mtoto wa kumzaa wa mzee kabila lakini ni wazi kwamba mzee alimpenda na kumuani sana licha ya kujua si wake,na hata mzee alipofanikwa kuichukua congo alimpa nafasi nyeti sana jeshini kwa kuwa alimuamini pia alikua akimuandaa.
  3. K

    Hawa wanafaa kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA!

    Mods kwanini mmechakachua ID yangu bila kuniconsult???.....mmekaa na kutafakari athari za uamuzi wenu huo wa kibabe au mlikurupuka tu kwa kujiona mko juu ya sheria,hii sijaipenda,natoa masaa nane mniombe radhi hadharani ikiwezekana kwa kuasisi thread nzima na pia mrejeshe id yangu kama...
  4. K

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    Ni makala mheshimiwa sio nakala.Tumeshindwa katika nini hasa labda umeshindwa wewe na genge lako,leo watu hawako tena kamati kuu...na pia watatakiwa kuchagua kati nec ama ubunge huo ushindi wa kupita pita makanisa ni ushindi hafifu sana
  5. K

    Ananitekenya kwenye kiganja kila tukishikana mkono!

    Hilo limaza likoje?kama nene jeupe na lina stimulus package ya kutosha hapo chini ya mgongo piga hilo dogo..!
  6. K

    Kizuri Kula na Mwenzio: Burger Za 'McDonalds' Bongo!.

    kweli wale wanatisha burger zao bomba na ziko kwenye kiwango hicho for more than 4 years now,mwanzoni walianza hapohapo moroco lakini upande unaokabiliana(mkabala)na jengo la makao makuu ya zain kulikua na viti kabisa hapo palipo na garden ya hiyo petrol stesheni siku hizi,naona baade wenye...
  7. K

    Mahalu na Kashfa ya Ubalozi wa Tanzania Italy

    kwani kauliza kama jk alihusika ama hakuhusika mbona mnakua washabiki zaidi wa kudandia mambo,kama huna uelewa na cha kumsaidia bora upige kimya..
  8. K

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    wewe kenge inaonekana moja kwa moja ni mtetezi maalum wa lowassa maana unajibu kila coment inayomhusu jamaa,nimekutazama sana,uzuri watetezi wa lowasa kila siku ni wale wale mnahama toka thread moja hadi nyingine,ndio hatupati tabu siku hizi na umaarufu wa bandia wa lowasa humu ndani,maana...
  9. K

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    mbona unakurupuka kiasi hicho mzee,nani kazungumzia habari ya urais?umeona neno urais au rais kwenye comment yangu uliyoniquote au umeona nimesema kuna mtu katangaza nia ya kugombea urais?muwe mnasema kwanza comment ya nusu mstari na unaona uvivu kuisoma yote.
  10. K

    Yuko wapi mwanasoka Hussein Marsha??

    Huyu jamaa alikua anajua sana mpira,yani hawa ndio wangeikuta taifa stars hii ya sasa inayolelewa vyema tungecheza kombe la dunia
  11. K

    Msikie Joseph Kabila na kiswahili chake!

    mdau usije kupigwa ban bure kifilio ni kiswahili safi kabisa cha neno sharpener kwa maana ya kichongeo watu wa bara wanavyoita,lakini kiswahili chake kwenye kamusi ni kifilio sio kichongeo!
  12. K

    Lowassa kuwa mgeni rasmi ktk ujenzi wa kanisa RC Kyela

    Kyela ndio yatakua machinjio ya lowassa,havuki pale kiwira kuna sehemu inaitwa "airport" pale ndipo habari zake zitaishia na kurudi jina...
  13. K

    toto la ukweee

    Hiyo kitu ya nyuma inaitwa "stimulus package"....
  14. K

    Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

    Musiba na willy Gamba "wake" alitukamata sana wengine miaka ile,mpaka eti tukawa tunamtengeneza willy gamba vichwani mwetu kwamba ni kijana fulani mtanashati hivi..shushushu hatari mwenye uwezo wa hali ya juu wa sanaa za mapigano.Nakumbuka willy gamba na ushujaa wake kwenye vitabu vya Elvis...
  15. K

    2012 African Cup of Nations.

    Zambia wamefanya mabadiliko kwa kukiondoa chama tawala na mafanikio ndio yanakuja kila sekta kama hivi..
  16. K

    toto la ukweee

    mwanaasha nae bwana,ana mambo makubwa sana aisee
  17. K

    Kwanini Rais huyu anaonekana kama mcheza filamu wa Hollywood?

    ila sasa inatosha apunguze maana anaharibika sasa
  18. K

    Msikie Joseph Kabila na kiswahili chake!

    Bwana SINKALA uraia wako inabidi uchunguzwe japo unaongea kiswahili cha kuandika kwa ufasaha,wewe ni mzambia,japo utajifanya mtu wa mbozi..hongera kwa mafanikio katika soka la africa
  19. K

    wadada wa kizazi kipya DRC nani zaidi?

    Hapa kwenye vide hii ukitizama vizuri utawaona cindy kulia kwa koffi na meje kushoto (01:03) kwa koffi wote wakiwa wamevaa suti za kijivu wakijichanganya na waimbaji wa kiume,hii ilikua ni birthday ya koffi kutimiza miaka 52!meje baadae aliondoka kundini humo na kutua kwa tshala muana baada ya...
  20. K

    Huyu mama ana" udongo" mzuri..

    shauri yenu...
Back
Top Bottom