Search results

  1. J

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Hii ni Kilimanjaro, Moshi vijijini,.Mashamba ya Miwa TPC ukiwa unatoka fonga gate!
  2. J

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Ni nadra sana kupata msaada ukiwa highway kutoka kwa madereva wa magari madogo , Hawa jamaa wa magari makubwa(malori) huwa na msaada sana aisee....big up kwao.
  3. J

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Ilishawahi nikuta nikitoka Moshi kwenda Mwanza......Mafuta nikaja kuweka Singida.Hatari sana
  4. J

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Hatari sana. Nakumbuka nilishawahi kupanda gari ya magazeti kutoka Dar kwenda Moshi enzi hizo nipo chuo sitakaa nisahau!
  5. J

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kwenye hizi barabara kioo kuwa hivi kawaida ,hata wale jamaa wanalitambua hili.
  6. J

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    240 Km + vumbi mwanzo mwisho. Wazee wa rough road tunagonga shimo.
  7. J

    Movie: Nobody

    Huu mzigo ni Kisanga na nusu.
  8. J

    Kwenu wataalamu, ni upi uzuri wa gari hii aina ya Probox?

    Mkuu inamaana engine iliyowekwa kwenye probox ni sawa na iliyopo kwenye IST??
  9. J

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Wazee wa kugonga shimo.......location wapi hii?
  10. J

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kuelekea nchi jirani
  11. J

    Msaada: Nimeulizwa swali na mke wangu nimeshindwa kulijibu

    Hivi kwanini unafanya dhambi kubwa hivyo? Mpe mkeo kile anachokihitaji,usiwe mbinafsi kiasi hicho.
  12. J

    Samsung VS Other Android

    Experia XZ
  13. J

    Kupanda gari za magazeti,nimekoma

    Acha kuwachomea wewe.....aliyekutuma kupanda hizo gari ni nani? Umetatuliwa shida yako unaanza kulaumu, ulikuwa hujui kwamba hzo gar huo mwendo ni wa kawaida sana kwao??
  14. J

    Matunda damu.

    Hizo ni nyanya pori!!
Back
Top Bottom