Search results

  1. Dam Boe

    #SmartRetail one side hustle

    Habari wakuu, Natumai kila mmoja yuko njema kwenye majukumu yake. Leo nimeona niwasogezee wanajf hii fursa ambayo inatokana na kasi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia na si nyingine ni hii Smart Retail. Smart Retail bwana hii ni platform ambayo inakuwezesha wewe kuinvest katika uuzaji wa...
  2. Dam Boe

    Mwenye Nyumba agoma kurudisha pango

    Habari za majukumu mawakili, kuna mkwaruzano umetokea kati ya mwenye Nyumba na mpangaji Sasa msaada wa ushauri kwenu mawakili. Ni hivi jamaa ameingia mkataba na baba mwenye Nyumba huo mkataba unasema alipe kodi ya miezi sita, ila yeye hakua na kodi ya miezi hiyo yote hivyo wakakubaliana alipe...
  3. Dam Boe

    Tozi linanidondoka

    Naliandika kwa wino, tozi linanidondoka Ni vipi hiki kibano, kwako nilichokikuta Tozi linanidondoka. Nilihisi nimefika, kwako nikajiburuta Kiu yangu kadhalika, kubwa ilonikamata Tozi linanidondoka Ugeni ukaniponza, utakatifu kutaka Mbio nilizozianza, nikazitoa sadaka Tozi linanidondoka Langu...
  4. Dam Boe

    Sabah l-khayr.

    Habarini wana jf naitwa Dam, nmejiunga na hii familia Mnipokee.
Back
Top Bottom