Search results

  1. B

    Kuongezeka kwa vijana waokota makopo

    Jamaa hawaelewi hili, wao ni kulalamika tu wabongo ni wavivu, binafsi sijawahi kuwaza ajira napambana kivyangu kunusuru familia yangu kwenye umaskini.
  2. B

    Kuongezeka kwa vijana waokota makopo

    Acha uboya nyie ndio mnakaa Kila siku kuilaumu serikali iwaajiri, halafu mnachagua kazi, piga kazi mtoto wa kiume
  3. B

    Pamoja na magumu tunayopitia kwa Hangaya lakini ni bora Hangaya kuliko Mwendazake

    Mwamba, mimi chadema kama wewe lakini ni mara mia samia kuliko magufuli
  4. B

    Pamoja na magumu tunayopitia kwa Hangaya lakini ni bora Hangaya kuliko Mwendazake

    Kipindi Cha mwendazake usingeweza kuandika haya, sasa hivi unao uhuru wa kutosha. Hicho tu kinatosha
  5. B

    Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

    Hela haiIna meno, lakini ukwa nayo lazma ing'ate
  6. B

    Sri Lanka: Vikosi vya Usalama vyafukuza waandamanaji

    Kweli kaka tatizo binadamu wasahaulifu
  7. B

    Urusi na Israel zapiga mabomu Syria

    Acheni utani hahah
  8. B

    Watu 30 wateketea kwa moto Nigeria

    Aseee mtu anachomeka mpaka anakufa, poleni sana wahanga
  9. B

    Je, ipo siku watumishi wa umma watasusia au kuacha kazi?

    Watumishi wa umma tulieni hivohivo
Back
Top Bottom