Okwewe ingia Google andika police loss report. Bonyeza link endelea na yafuatayo.
Nilichogundua watanzania wengi bado ni mambumbumbu, unakuta mtu anajiita msomi lakini kichwani ni bure kabisa, mfano hii ishu ya loss report ipo online na hii ni kwasababu ya kuipata control number ili uilipie 500 na ni kwasababu malipo yote ya serikali yanalipwa kwa kupitia control number, sasa polisi wamerahisisha kuliko kujazana polisi kuitafuta hii control number wameona waiweke online ili kila mtu angie na kujaza mwenye. Hii loss report ukishaijaza kama umetumia number yako ya nida inaweza kupita bila kwenda polisi kwenda kuthibitisha lakini kama umetumia vitambulisho vingine tofauti na nida report yako itakubidi ukaithibitishe polisi. Sasa hapa wengi ndiyo wanafikiri polisi wanachezea mfumo, mfano umeona huyo mdada wa stationary😂😂😂 huwa najiuliza polisi wanacheza na mfumo ili wale cha juu . Ishawahi kunitokea na mimi pia nilijaribu mwenyewe ikachukua siku ila kwenda stationary karibu na kituo cha polisi haikichukua ata nusu saa nikauliza kwa dada wa stationary akasema kuna mtu pale kituoni anajuana nae kwahyo mambo chap tu kwenye mfumo anathibitisha manually.Sasa sijajua huu mfumo uliwekwa kwa dhima gani maana vitu haviendi bila mtu kati na sio tena automated process
Mkuu mimi huwa sina kitambulisho kingine zaidi ya NIDA lakini nililipia mwenyewe hivyo vitu ila shida niliipata inabidi uelewe kama halijakukuta tulia usilaumu watu ni kuwa ni wavivuNilichogundua watanzania wengi bado ni mambumbumbu, unakuta mtu anajiita msomi lakini kichwani ni bure kabisa, mfano hii ishu ya loss report ipo online na hii ni kwasababu ya kuipata control number ili uilipie 500 na ni kwasababu malipo yote ya serikali yanalipwa kwa kupitia control number, sasa polisi wamerahisisha kuliko kujazana polisi kuitafuta hii control number wameona waiweke online ili kila mtu angie na kujaza mwenye. Hii loss report ukishaijaza kama umetumia number yako ya nida inaweza kupita bila kwenda polisi kwenda kuthibitisha lakini kama umetumia vitambulisho vingine tofauti na nida report yako itakubidi ukaithibitishe polisi. Sasa hapa wengi ndiyo wanafikiri polisi wanachezea mfumo, mfano umeona huyo mdada wa stationary
alivyo kufanyia wewe unafikiri ni michezo, huyo mdada kajiongeza tu kwa sababu ya biashara yake.
Pia wabongo wengi ni waongo unakuta mtu kapoteza vitu vingi anaenda stationary kutengeneza loss report vitu vyote alivyo poteza vikiwekwa kwenye loss report na kuviprint cost yake lazima iwe kubwa sasa mtu bila kuelewa analalama na polisi.
Hivi ni lazima uwalaumu Polisi hata kama hawahusiki?Nilipoteza kitambulisho changu cha ajabu nilienda kituo cha polisi nikafata loss report maana nafahamu ni 500 tu
Cha ajabu naambiwa niende stationery ya nje kufika naambiwa ni elfu tano za Kitanzania.
Hawa jamaa sijui wakoje. Loss report ni mfupa ulomshinda Sirro, nadhani IGP mpya aje na utaratibu wa kulitazama hili
UPDATE: Kuna watu humu wananitukana kabisa kwanini sikulipia online??Hivi mnajua online yao inachukua hata week mbili?Ni wangapi wamewahi kulipia halafu mwishowe system ikawaambia hujalipia?Mpaka nimeenda polisi ujue system yao imenigoma wakati nimelipia kabisa, kabla hamjacomment uzi hebu control ubongo wako kwanza!!
Jaza fomu afu ka download kwenye mtandao.Wa stationery wanafanya biashara lazima wakupige.Nilipoteza kitambulisho changu cha ajabu nilienda kituo cha polisi nikafata loss report maana nafahamu ni 500 tu
Cha ajabu naambiwa niende stationery ya nje kufika naambiwa ni elfu tano za Kitanzania.
Hawa jamaa sijui wakoje. Loss report ni mfupa ulomshinda Sirro, nadhani IGP mpya aje na utaratibu wa kulitazama hili
UPDATE: Kuna watu humu wananitukana kabisa kwanini sikulipia online??Hivi mnajua online yao inachukua hata week mbili?Ni wangapi wamewahi kulipia halafu mwishowe system ikawaambia hujalipia?Mpaka nimeenda polisi ujue system yao imenigoma wakati nimelipia kabisa, kabla hamjacomment uzi hebu control ubongo wako kwanza!!
kweli kwa njia ya mtandao inagoma,Cha ajabu naambiwa niende stationery ya nje kufika naambiwa ni elfu tano za Kitanzania.
Hawa jamaa sijui wakoje. Loss report ni mfupa ulomshinda Sirro, nadhani IGP mpya aje na utaratibu wa kulitazama hili
UPDATE: Kuna watu humu wananitukana kabisa kwanini sikulipia online??Hivi mnajua online yao inachukua hata week mbili?Ni wangapi wamewahi kulipia halafu mwishowe system ikawaambia hujalipia?Mpaka nimeenda polisi ujue system yao imenigoma wakati nimelipia kabisa, kabla hamjacomment uzi hebu control ubongo wako kwanza!!
Nilipoteza kitambulisho changu cha ajabu nilienda kituo cha polisi nikafata loss report maana nafahamu ni 500 tu