TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO
Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia kila mtu ana kiasi Fulani cha nguvu, Hivyo tunahitaji mwanasiasa awe na ukweli na uwajibikaji kwani...
Ahahha ahsante sana utakuta ile vijana wa sikuizi bhana wahuniii , uhuni ndo unatofautiana wote ni wahuni , kwan uhuni wa zamani hatuujui sabu hatukuwepo.
Kuna jambo lazima lifanyike, tukubali kua nchi yetu haiwez kutajiri woote nchini wenye diploma,Degree, masters, PhD cha msingi ni wasomi kutafuta plan B ili kujiajiri sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.