Search results

  1. Bwisso

    Hapa masihara yamezidi mh.makamu wa Rais

    kazi yake ni ya kushika mikasi
  2. Bwisso

    Kupandisha gari kwenye Kivuko cha Kigamboni bila kupanga foleni

    Nilipewa lifti kama mala mbili na mzee mmoja wa bandari, alipotaka kupita geti la chuma wakamzingua nikaona anatoa karatasi akawapa wale wanajeshi, walipoisoma wakamrudishia akaihifadhi humo kwenye gari, nilipomuuliza aliniambia huwa wanaitoa ofisini ila hakunifafanulia zaidi, jaribu na wewe...
  3. Bwisso

    Kupandisha gari kwenye Kivuko cha Kigamboni bila kupanga foleni

    wanaopita geti geti la chuma na magali yao wana vibali mahalum mfano, mfanyakazi wa bandari, mwanajeshi, polisi na viongozi ila kuna fomu unaijaza unakuwa nayo, ukipita hilo geti la chuma lazima uonyeshe kwa wale wanajeshi wanao simama hapo getini.
  4. Bwisso

    Picha na matukio: Ziara ya Mama Salma Kikwete Lindi Mjini

    au kuamisha pesa mkono wa kushoto kuweka wa kulia
  5. Bwisso

    Pendekezo: Mgombea Urais akishindwa aingie bungeni moja kwa moja!

    Mtikila angewakimbiza, bi kiroboto na ****** kila siku wangepelekwa mahakamani
  6. Bwisso

    Uroho mbaya

    UROHO M-BAYA...Mwizi alibomoa nyumba akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye kibakuli vilivyokauka,akaonja kimoja akaona ni kitamu kina chumvi chumvi! Akafurahi akakaa chini akala vyote alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa CHUMBA CHA KUTAHIRIA!! eti unahisi alikula nini?
  7. Bwisso

    Msaada jamani jinsi ya kujiunga na freemason

    hata panya hatosalia kwenye nyumba
  8. Bwisso

    Maandamano IFM

    nimepishana nao ferry wamejaa hadi juu kwenye pantoni kubwa na wala hawajalipa 200
  9. Bwisso

    kwa habari nilizopata msanii mwingine wa bongo movie ameaga dunia leo ni JOHN ( BIG JOHN)

    pia anapatikana kwenye filamu ya mrembo kikojozi. R.I.P
  10. Bwisso

    Uhamiaji yaomba wananchi kuwataja Wahamiaji haramu nchini

    hawa wasomali ni wabinafsi sana, niliwahi kupanga nao nyumba moja, mimi nilipanga fremu ya biashara wao walipanga kwa ajili ya makazi maeneo ya tandika, ikiwa watatoka lazima wazime umeme nyumba nzima hadi watakapoludi, walikuwa wanatuzuia tusichote maji japo tunalipia, ilikuwa marufuku kuingia...
  11. Bwisso

    Mambo ya nyuma

    Jamani "NYUMA" raha ! asikwambie mtu. "NYUMA" rahaaa wacha nipasifie, nisipo pasifia atapasifia nani tena mwenye kuujua vizuri utamu wa "NYUMA" ?. Hebu fikiria Soda ilikuwa Tsh 250, Sukari robo Tsh 150, Mafuta ya kula robo Tsh 100, Mafuta ya taa LT Tsh 500, Sabuni ya kipande Tsh 30, Unga kilo...
  12. Bwisso

    Sad news: Mwanafunzi wa MUCCoBS ajinyonga

    Basi hapa magazeti ya udaku yameshapata habari, copy & paste
  13. Bwisso

    Hongera jf,mhe. Mwakyembe nimepanda tren kwa mara ya kwanzatangu nizaliwe na miaka 28

    kwa kumuongezea, kabla hajavuka ng'ambo ya pili pana vyoo pale kwenye kantini 200 yake tu
  14. Bwisso

    why tigo kila siku?

    Umenifurahisha sana mkuu
  15. Bwisso

    Mchawi alivyong'ang'aniwa na maiti kasulu....

    hata mimi nilisikia jana kwenye breaking newz ya clouds fm
  16. Bwisso

    Nyimbo: CHADEMA na Polisi walishirikiana mauaji ya Daudi Mwangosi

    gamba ni gamba likikomaa linavuka,baada ya muda linaota lingine, bora watoke tu wasituletee udhaifu kwenye chama, bado shibuda
  17. Bwisso

    Tamko kutoka jumiya na taasisi za kiislam (t)

    shauri yako utageuka mkuu
  18. Bwisso

    Tamko kutoka jumiya na taasisi za kiislam (t)

    Ila hata ya mbagala ilikuwa mchezo wa kitoto,
  19. Bwisso

    Tamko kutoka jumiya na taasisi za kiislam (t)

    mbona zanzibar muisilamu kakojolea msaafu na kachukua tasbih kamvisha mbwa, akamchukua huyo akampakatisha mama yake kwenye mapaja, mbona hawaja choma misikiti wala kuandamana.
  20. Bwisso

    Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa

    Shein mdebwedo
Back
Top Bottom