Search results

  1. Saidama

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Ndoa ili iwe tamu ni kumuoa mpenzi wako ambae umekua nae kwa muda mrefu na mmesha zoeana kwa kila kitu. Sio unatafuta mke mwezi mmoja tu au miwili unaoa, matokeo yake ndo unajikuta umeoa mtu usietegemea
  2. Saidama

    Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Kula mali ya mtu ni kumpa huyo mtu haki juu yako au kama ulivyosema, kujifunga kamba au kujigeuza mtumwa wake. Mtu timamu na makini sio rahisi kabisa kupokea vya bure
  3. Saidama

    Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

    Hisia zikikutawala, maamuzi mabovu pia yatatawala
  4. Saidama

    Refa na Mkufunzi wa FIFA akataa goli la Yanga

    Ile haikua faulo kwamba tuskilize watalamu wanasema inaamuliwa vipi. Pale lilikua ni swala la macho kufanya kazi kwamba mpira umeingia au haujaingia, na mpira kwa macho ya kawaida kabisa unaonekana umeingia. Kwaio hapa hata nani aseme nini haiwezi kubadili fact kua lile ni goli
  5. Saidama

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Huyo anaonekana hana heshima. Kushindwa kukupa hata taarifa ni kukudharau. We hapo mueleze alivyozingua ili ajue maana tofauti na hivyo atajiona yupo sawa na atakuona kua anakumiliki. Baada ya hapo usije mpa tena muda wako
  6. Saidama

    Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

    Kwa saivi hata ukiangalia idadi ya watu wanaofunga na kuzingatia kwa 100%, inatisha shaka sana safari ya dini huko mbeleni
  7. Saidama

    Akutwa akimbaka mtoto (binamu yake) baada ya kumrubuni kumpa Shilingi 1500

    Hata sasa kama kusingekua na mitandao usingesikia jambo hili muda huu
  8. Saidama

    Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Kwanza jiulize kama ameweza kufanya hivyo ndani ya muda mchache tu ambao mmeachana kidogo(wewe kwenda kusalimia), sasa je mkiwa mbali mbali kama mnavyokua kikazi inakuaje! Bro hapo huna mwanamke, mkimbie mbali kabisa
  9. Saidama

    Tetesi: Ali Hapi kwenda kumng'oa Mwigulu jimboni Iramba 2025

    Sema kweli lakini ubunge ulitakiwa kua na limit ya mihura, mihura miwili tu unaachia wengine nao waonyeshe wana nini. Sasa mtu anataka kila siku awe yeye tu! Huo unakua ubinafsi sasa
  10. Saidama

    Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Yah, ni hivyo kabisa. Mtu unajistukia kwamba sasa huyu hata akinikubali ntaweza kumudu hata kidogo atakachoniomba
  11. Saidama

    Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

    Asha kama alikua na watoto basi amewadheesha sana
  12. Saidama

    Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Hapo no way aanze tu yeye, vinginevyo awe mvumilivu mpaka kijana atakapo funguka. Kuanza yeye kutasaidia kuokoa muda kwa sababu huenda pia kijana ameonyesha hivyo ila asije kuwai kumfungukia kwa sababu sometime wanaume kuna sehemu tunatokeaga kuzielewa ila tunajikuta hatuzifungukii kwa kujiona...
  13. Saidama

    Kazi ninayofanya inaniletea maumivu makali ya mgongo, nifanyeje kukabiliana na hili?

    Usiache kazi. Endelea kuifanya huku ukitafuta nyingine au ukitafuta mtaji uje kufanya biashara. Hakikisha unastick kwenye io plan kiufasaha kwa kuhifadhi hela vizuri mana vinginevyo unaweza jikuta unaifanya kwa muda mrefu na inakuletea madhara ya muda mrefu kwa mgongo wako
  14. Saidama

    Hivi kuvuta bangi Kuna madhara Gani?

    Bangi madhara yake ni ya muda mrefu na inahitaji uelewa wa hali ya juu kuelewa kua bangi imekuathiri. Madhara yake makubwa ni kwenye tabia. Unaweza jikuta unageuka kua mtu wa kupenda kujitenga sana na watu au kugeuka kujikuta kampani yako unayopenda ni ya wavutaji wenzako. Hapa bangi inaweza...
  15. Saidama

    Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

    Kua na nguo nyingi sana sio kitu kibaya kwa sababu inafanya unakua na options nyingi na unakua huchakazi nguo kwa sababu unaivaa mara chache ndani ya muda mrefu. Muhimu tu ni kuhakikisha unanunua nguo nzuri kweli kweli ili usije jikuta unakua na nguo nyingi ambazo hazieleweki
  16. Saidama

    Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

    Amewahi kutabiri mechi gani na matokeo yakaja kama alivyo tabiri
  17. Saidama

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Haha, inawezekana. Ila kuna kesi unaona kabisa huyu jamaa dawa aliyotumia kweli imefanya kazi. Maana unakuta dem ana respond isivyo kawaida
Back
Top Bottom