Siku 12 tu kwa miez ya mwaka kesho Mungu akijaalia ni siku ya 5 najitahid kula vyema jion na matunda na maji ya kutosha hayo masaa ya mchana Roho Mtakatifu anajua ngoja twende kiimani nimemwomba kwamba nanyonyesha na anajua .....vita ya kiroho niliyonayo bila kufunga mkanda sitofika mwalimu...
Shaloom mtumishi.. kiukwel mimi nimeweza kwa msaada wa Mungu,leo ni siku ya 4...nafunga saa 12 asubuh had 12 jion bila chochote...nimeomba Roho Mtakatifu anisaidie yani ....nimehimili ingawa leo niliamka nikawa nahis kama njaa mana ninanyonyesha mtoto wa miezi 5 na week 2 ...ila nikasema...
Huu mfungo wa matunda ulinipita ila nimesoma maelezo uliorudia hapo mwalimu...je unashindia matunda pekee kwa siku hizo 7 au unakuwa unafunga bila kula kitu masaa 12 mfano 12asubuhi hadi 12jion then unakula matunda had kesho tena jioni?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimecheka kama mazuri vile...ila mimi leo natia nia lazima nifunge,nia ya mwili sikuzote ni mauti...mwili hautaki mambo ya uzima wa milele ndio mana daima unapingana nasi....Mungu anisaidie mwaka umeanza mwez hauwez kuisha bila kufunga na kuukabidhi mwaka kwa...
Mungu anisaidie mana na mim nakwamaga hapa sana ..nikiwa sina nia ya kufunga naweza jikuta siku imeisha wala siwaz habar ya msosi na sihisi njaa...ila tu nikiweka nia ya kufunga kufika saa 4 tu asubh unaanza hisi hadi mwil unatetemeka njaa hujiwez unataman tu kula...woi Mungu aniwezeshe nivuke...
Alikuwa wapia asishtak toka 2010 had leo 2023 inaishia? Au alikuwa anasubiri hela iongezeke apate mgao vyema?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Asante kwa kushare huu ujumbe nimejifunza jambo nimependa hivyo vitabu nijifunze pia...najua siku moja nami nitashuhudia matendo makuu ya Mungu.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Maono waliyopewa ni hayo kuwa kuna tukio kubwa litatikisa nchi na vifo vya viongozi tukashirikishwa hivyo tuombe tu
Ni kwel kwa nyakati hizi hakuna jambo la kupuuzia kabisa haswa jambo linalonenwa na wengi maana yake Mungu anaweka msisitizo juu ya hilo jambo...
Tuombe rehema za Mungu tuvuke...
Kwenye huduma tunayosali tumepata haya mafunuo pia...na sio mara ya kwanza kusikia haya...watumishi mbalimbali wamekuwa wakitabiri sana
Tuungane pamoja kuombea taifa letu
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa hata ukiangalia balance tu kwa app imekwenda wanakata yan nilikuwa sijui ila nikashangaa mbona kuna hela zinakwenda sijui zinakoenda kuja kustuka ni app kuchek salio na mim nilikuwa natumia nikijua bure kama tigopesa app na mpesa app kumbe sivyo
Sent from my SM-A042F using...
Hatimae na mim nimesoma mwanzo mwisho mbarikiwe sana ingawa nimeruka baadhi ya sms ila nimepata mengi kunihusu ...namshukuru Mungu kwa uzi huu kuwepo mahali hapa nimepata fungu langu...mwalimu 7seven naomba nikucheki inbox
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.