Malovee, miaka 2, uchumba miaka 3.
After that time nlikaa nkasema wazi kua hata nkipata mtu mwingine hawez kusonga ugali mgumu kama huyu, nkaenda kupeleka taarifa kwa wazee..
Bond inakua kubwa zaidi between people pale ambapo hawaonani kwa muda mrefu.
Mimi naondoka saa kumi na moja narudi saa sita kasoro.
Nkifika mda huo mwenzangu alishalala usingizi ukapungua, ataamka, tutapiga stori mbili tatu, ntazima hadi next day.
Lakini at leasy once per week nawahi au nabaki...
Natamani ungekua unaelewa how govt tender worjs kwa nchi za kiwaki kama zetu.
Iko hv, hadi hyo zabuni inatangazwa na kupewa mchina, lazma ma teni pasenti kibao yashawekwa humo kati.
Mchina anafuata mashine huko kwao at a throw away price analeta, hapati hasara yoyote.
MZawa sasa, utanunua...
1. Flex - ika karibia na jiji
2. Sparrow - iko karbia na daraja la rock city mall
3. Sinai - iko njia ya buzuruga
4. Mafoil - iko nyegezi karbia na stendi
5.
Hapo ndo unakosea.
You sound desperate mpaka hapo.
Mwanamke hutakiwi kumueleza shida zako maana ye ana zake Hadi zinajaa.
Unatakiwa umuonyeshe reasons za kwanini akuchague wewe over others or over alienae at the moment.
Im just thinking out loud, kwanin wasinunuliwe zile Rav 4 sauti ya manka?
Maana zile ni kanyaga twende kwenye shimo na lami.
Au probox zinafaa.
Ili kuwatofautisha na sisi wengine wanunuliwe za kijani ili wamtangaze na kumsifia boss kwa maneno na vitendo
Sio lazma uende ofisini, piga ile namba yao, (japo utasubiri sana), then ongea na mhudumu mueleze suala.lako.
Atakuuliza mita namba, then atakutajia manamba kibao, utayarekodi pembeni then utaenda kufungua mita yako kwa kuingiza namba hzo.
Most times it takes at least 5 working days kuanzia...
Im sure unamuongelea bwana Gustavo Frings a.k.a Gus from Los pollos hermanos.
To be honest, Gus alikua na akili mingi sana yule chalii. Alikua ameiset empire yake so nicely kias kwamba angeweza kusurvive for many years, sema akamuingiza mkuda Walter ndo hapo akanyea kambi.
Siez kuleta evidence from bible maana sio mjuvi saaana but i think bible inatumika kutoa muongozo wa maisha ya duniani.
Ndo maana japo imeandikwa ki-tricky, bado kuna njia kibao za kufanya interpretation.
Soo, it depends kwanza kama unamuamini Mungu yupo
when you have sex with multiple partners you tend to build preferences.
This may lead to loosin out on potential partners bkoz of the preferencrs.
Thats why the bible inakataza, bkoz mtu ambae hajawahi kunyanduana, only thing ako anajua n ya huyo spouse wake.
I thnk thats why inakatazwa,
Heri wewe umeipata ukubwani, mi nmehangaika nayo tangu nazaliwa.
The only trick sio kuzitoa huzo kucha, what you do nenda kwa wale wataalam wanaodeal na kucha za wanawake, wanaenda wanakabetua katoke nje.. alaf unaiacha iote iwe ndefu kabisa.
After hapo unakua unakata kwa juu tu, usifike chini...
Mimi naona hizo taa zinanichelewesha tu siku hizi.
Im sure wangeweka camera ningepigwa fine nyingi sana maana hua napita tu hata kama ni nyekundu.
Ni jambo la aibu kuwa zamani bila taa tulikua tunapita na kuwahi mapema kuliko sasa hv na taa zao.
UNakuta jam iko hadi wahekma, na ni usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.