Search results

  1. Sengimisoji

    Watalamu wa afya nisaidieni mawazo!!

    Nina ujauzito wa wiki 24 Sasa ni triple baby, lakini tangu mimba Ina wiki 15 nilikuwa naumwa tumbo sana nakukaza kwenye kinena Hadi kiunoni. Vipimo nilifanya Tatizo hawakugundua,wiki 22 tumbo limekazana kuvuta chini ya kinena, ndo kufanya untrosound majibu yametoka na placenta privia imeziba...
  2. Sengimisoji

    Ni sahihi mpenzi tulieachana kuja dukani kila mara?

    Unjooni mnishauri jmn na wiki mbili chakula hakiliki, mnamkumbuka yule msukuma wangu niliwaambia hajui kukasirka nakufoka? Sasa Nina wiki mbili tumeachana na mm ndio nimemuacha baada yakumkuta ana mkiss mdada ofcn kwake,nikitoka kwa panick nikawaacha!nilimsema Sana kwa sms kwann anafanya hivo...
  3. Sengimisoji

    Waungwana hivi unaweza kupata nuksi au bahati ukiwa kwenye mahusiano na mtu?

    Naombeni wanaujua wanisaidie hii imekaaje maana sielewi, niko na miaka 26 nafanya biashara Nina maduka matatu mji x...makubwa tu, moja nasimamia mm muda mwingi mengine ninawasaidizi. Sasa inshu iko hivi Nina mahusiano na kaka mmoja wakisukuma, tangu nianze mahusiano na yy kipato changu...
  4. Sengimisoji

    Nini kifanyike ili mtoto aliyelatiwa asipate madhara ukubwani?

    Habari za usiku, Naombeni mnisaidie kwa wataalamu wa afya, mtoto wa dada angu amelawitiwa shuleni kama mara mbili kwa maelezo yake, umri wake 8 years, amepimwa magonjwa hana, kesi ipo Polisi kwa mtuhumiwa, alikuwa ameanza dalili zakujisaidia kila mara chooni baadhi ya siku, nini kifanyike...
  5. Sengimisoji

    Huyu mwanaume hata umkere vipi hajui kukasirika

    Nitawasalimu baadae, Hivi wanaume wakisukuma ndio mupo hivi au nihuyu tu mjuba wangu,,nitall mweusi,pesa ipo kiasi chake sihaba!!tatizo linaanzia hapa nimwaka wapili Niko nae huyu jamaa hajui kukasirika, hata umuandikie msg zakukera kamwe hawezi kukukasirikia, baadae mtaongea tu vizur Kama vile...
Back
Top Bottom