Search results

  1. G

    Ninasumbuliwa na (tinea fungal infection) dawa za hospitali zimeshindwa kunitibu nisaidieni

    Bila shaka ushauri utazingatiwa mimi pia nina tatizo kama hilo nitajitahidi kuwatafuta mabigwa hao wa magonjwa ya ngozi. lakini sijui kamgomo kameisha au bado kanaendelea kiana. -
  2. G

    Hepi besidei LULU

    Lulu a.k.a mama the great s.t happy birthday hapo segerea.
  3. G

    Mpoki...

    kweli mpoki anachekesha lakini sio kila mtu anamfahamu, maarufu kwako hawezi kuwa maaarufu kwangu bana.
  4. G

    Mawaziri saba wang'oka, Pinda chupuchupu

    Haya yote kajitakia baba Mwanaasha kuwapa ulaji washikaji zake matokeo yake ndio hayo sasa.Wameifanya njii hii shamba la bibi.
  5. G

    Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

    DADA VIANE UNAJINOMA MWENYEWE LISAA 1 JAMAA ANAKULA MZIGO TU, BILA SHAKA HATA HIYO NANILII YAKO ITAKUWA IMEOTA SUGU SASA.:yell:
  6. G

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    NIMEYAPENDA MAWAZO YAKO MKUU, MARA NYINGI TUNAHITAJI MAWAZO PEVU KAMA HAYO KWANI YANATUSAIDIA SANA SISI ZOTE NA TUKUMBUKE KWA SASA MARADHI IMEKUWA NI SEHEMU YA MAISHA YETU. BIG UP MKUU.:nod:
  7. G

    Vidonda vidogo mdomoni (Aphthous Mouth Ulcers)

    NINA TATIZO LA KUWA NA VIDONDA MDOMONI NA KWENYE KOO KWA ZAIDI YA MWEZI SASA, NIMEKWENDA HOSPITALI NIMEPEWA VIDONGE AINA YA AMOKSRINE NA AINA NYINGINE YA ANTIBAYOTIKI PIA NA DAWA YA MAJI YA MATONE LAKINI NAFUU NIMEIPATA KIDOGO. JE KUNA MWENYE UJUZI WA TATIZO HILI NAOMBA MSAADA WENU WANA JF.:nod:
  8. G

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Tuleteeni na gharama za mavazi aliyovaa marehemu ST
  9. G

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    This is more than confusion concerning her age, nakumbuka alipohojiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi kuhusu age yake alisema she is 18 years old.Sasa inakuwaje ana miaka 17 baada ya kutuhumiwa kumuua S.T. -
  10. G

    Anna Malechela leo umeniboa bungeni

    Yaani mmi pia kaniboa kinoma utafikiri katumwa vile,halafu mama yule alivyo mkali sijui babu yetu akitaka mambo yetu yale inakuwaje?:a s 465:
  11. G

    Mke mdogo wa mzee yusufu amepata ajali

    sijui hasa ni yupi maana wako wengi kama ukivyotanabaisha mkuu, lakini chanzo cha hii niuzi hakikusema ni nani kama ni yule mwenye rough surface or not nitaendelea kuwapasha nikipata habari zaidi.
  12. G

    Mke mdogo wa mzee yusufu amepata ajali

    Nasikia mke mdogo wa gwiji la muziki wa taarabu kama siyo vidole juu nchini mzee yusufu amepata ajali alipokuwa akiendesha gari la mumewe kwa kugonga mwenda kwa miguu ambaye amevunjika mguu.inasemekana mke mdogo huyo wa mzee yusufu alikuwa ameutwika vibaya kama siku karibia kuzimika alipokuwa...
  13. G

    Karibu Sana Mh. Halima Mdee Ndani ya JF

    Acha masihara we kadakabilike kama humjui halima mdee nend jimbo la kawe kaulize mbuge wenu ni nani?
  14. G

    Mwanafunzi Shule ya wasichana Korogwe agonga wenzake kwa gari wakijiandaa kwa mahafali

    Nani kakwambia pikipiki za kichina wajifunza leo na kujua leo? Weee zawachinja kama kuku cha msingi hapa ni kuwapa pole wale wote waliofikwa na masahibu hayo na c kulinganisha baja na toyo hizo zote zinna mfumo mmoja tu wa uendeshaji. Poleni wahanga wa tukio hilo na ninawatakia afya njema...
  15. G

    Jamani madent mliopita shycom mupo jamvini?

    kwa wale tuliwahi kusoma pale shinyanga commercial institute a.k.a shyom bila shaka mtakuwa na mambo kadhaa wa kadhaa ya kujikumbusha hakika kulikuwa na mambo mengi mazuri na ya kukatisha tamaa baadhi ya hayo mabo ni kama ifuatavyo, kulikuwa na mwalimu mmoja anaitwa mwita mnoko huyo usipime...
  16. G

    Hi jf members

    JAMANI NASHUKURU KWA KUJOIN JF, I HAVE BEEN JUST ENTERING IN JF AS A GUEST KWA MAANA HIYO BASI SIKUWA NA ACCESS NA KUTOA MAADA AU KUCHANGIA SASA NIMEWEZA, JAPO NILIPOJARIBU KUJOIN KUPITIA SIM IMENIZINGUA SANA.LEO NIMEFANIKIWA KUPITA LAPTOP, KWA HIYO TUPO PAMOJA WANA JF. THANKS A LOT.:embarassed2:
Back
Top Bottom