Search results

  1. T

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Ya kilo 8 Mkuu ntapata kwa sh.ngapi? Na itachukua siku ngapi kunifikia? Nipo geita
  2. T

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu habari, nahitaj mashine ya kukandia unga wa ngano ya kg 12 au kg 8 waweza niagizia china kwa garama Gani hadi kunifikia geita?
  3. T

    Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

    Ontario hivi bado anafundisha forex?? Kitambo sana nasikia anamiliki jaguar na ofisi kali mafanikio ya forex hayo
  4. T

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Kuna mfugaji anafuga kuku wa kienyeji huwa anawalisha starter wiki 2 baada ya hapo anawachanganyia chakula simple tu na anawauza kwa Bei ya elfu 10_ 12 @ mmoja wanakuwa wa kubwa,kuliwa kama saso au kroiler.
  5. T

    Kwa Tanzania ni kampuni gani wanaunda seat za magari?

    Kuongeza seat kwenye gari mfano toyota liteace van ukiongea seat zikawa 7 jumla na kadi ya gari inaonesha seat 5 hapo hapata leta shida kwa ma trafic msaada.
  6. T

    Kuna hatari inakuja kwenye swala la Kilimo

    Geita mahindi mengi yamekauka , watu wameivisha wa chache sana debe 16,000/: mwez huu haijawahi tokea.
  7. T

    Korea Kaskazini: Marufuku mabinti kufananisha jina na mtoto wa Kim Jong Un

    Korea kaskazini ni nchi ya ajabu sana mwananchi ukitaka kuhama kwenda nchi nyingn ni kosa la jinai unauwawa, na ukitoroka ukakamatwa unauwawa au kufungwa.
  8. T

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Hili swali halijajibiwa, mi nataka Ntumie mtama ntakupa mrejesho.
  9. T

    Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

    Putin vita vimemshinda, akitumia nyuklia ataua watu wasiokua na hatia.
  10. T

    Hotuba ya Raid Vladmir Putin kuidhinisha kura ya Maoni kutwaliwa kwa Donbass

    Putin hatari sana, jamaa kaimega ukraine kwa ubabe mpaka huruma, huyo Zelensky inabidi awe mpole hakuna namna .
  11. T

    Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    Kuna vijana nawajua wanna pataga kazi za kuswaga punda kuwatoa singida, mantra kuwa nafuu kuja kuwauza wilaya za geita wanatembea njiani usiku na mchana wiki 2 ,,,, mmoja aliponea kukiwa na fisi usiku, ILA siku hzi kwa sehemu kafanikiwa anamaisha safiii tuuu, kashaacha kuswaga punda, mvumikivu...
  12. T

    Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    Mkuu umetisha sana, hivi kuna wanawake ma porter? Hao jamaa daaa, huruma sana , jamaa kama wakimbizi miziko hadi kichwana maisha hayako fair.
  13. T

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Out of ppic Mkuu habari , kusafirisha gari toka south kuja bongo garama kias gani,? Gari ni toyota hilux
  14. T

    Historia chungu ya maisha ya taifa la Ukraine, Mapinduzi ya utu (Maidan Revolution) hadi uvamizi wa 2022

    Kabwe katalii msemaji kutoka kremlin, uko pande zipi? Uko ushirombo au nyaruguru?
  15. T

    Waarabu na Wayahudi kuungana na kubuni NATO yao, ndio imekuwa mbinu za kujilinda sasa

    Dunia imegeuka uwanja wa fujo, israel itaungana na jordan, UAE, na saud arabia.
  16. T

    Kwa nini Land Rover discover 3 ina bei rahisi

    Ni mm Mkuu, naangalia namna ya ku import gari la miaka isiyozid 8 toyota hilux ili nilipiwe na serikali import duty ambayo ni kama 8 mil.mimi ni muajiriwa serikalini so likija kwa meli itakua rais kufatilia document ili nipate punguzo la kodi .
  17. T

    Kwa nini Land Rover discover 3 ina bei rahisi

    Hiyo gari ya matajiri hiyo 4 m wadau wanaongeza 2m wanapata gari safiii kabisa
  18. T

    Kwa nini Land Rover discover 3 ina bei rahisi

    Garama ya carrier kias gn Mkuu kwa uzoefu wako? Naomba kwa road garama kubwa mil.2 na point Gara
  19. T

    Kwa nini Land Rover discover 3 ina bei rahisi

    Hiyo gharama ni pamoja na mafuta au ni nje ya mafuta. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom